Ripoti: Kuna uwezekano wa Serikali kupoteza Mapato ya TZS 265.85 Bilioni

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Kutokana na udhaifu katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato, kuna uwezekano mkubwa wa Serikali kupoteza TZS 265.85 bilioni kutokana na vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu.

Katika Serikali Kuu, kumekuwa na ongezeko la upotevu wa mapato kutoka TZS 7.70 bilioni kwa mwaka 2018/19 mpaka TZS 38.70 bilioni kwa mwaka 2019/20 ikiwa ni ongezeko la TZS 31.00 bilioni.

Ripoti ya Uwajibikaji 2021
 
Licha ya kuweka tozo uchwara na kutoza kodi ya nyumba kwa wapangaji bado kumbe wana mifumo mibovu ya kuchukua kodi zao.
 
Kwa Nini yalikuwa yanapotea au vikosi kazi vya kutumia nguvu vilikuwa vinapeleka mdomoni mapato, hakika awamu ya tano nchi ilikuwa kwa wachache aka wapendwa wa mwendazake
Nyie wajinga sana. Serikali ya awamu ya 5 ilikuwa na misingi ya uadilifu. Ila panya wote walijitahidi kutunga uongo ili wizi uonekane upo awamu zote ili kuzuia wananchi wasing’mue walikuwa utofauti wa wizi na uzalendo wasije wakahoji kwa nini JK alikuwa na genge la panya. Kwa hizo propaganda zenu za kipumbavu zimefeli zote. Juzi hapa mnasema eti barabara ya mwenge hela zililiwa baada ya wenye nchi kuwasuta mtuambie na ile hospital ya uhuru ya dodoma hela zilitoka wapi mkajitokeza kuweka mambo sawa. Kwa ufupi nyie wezi tunatamani mfe wote ili chi isonge mbele, maana mnatukwamisha
 
Back
Top Bottom