Wanachadema Katiba Mpya sio kigezo cha kufanya mkubalike kwa wananchi. Sera na itikadi nzuri ndio mtaji wa kisiasa

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono.

Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya kukamata dola. Wanashindwa kuelewa kuwa ili ukamate dola lazima na sera na itikadi zitazo wafanya wananchi kuunga mkono chama chao.

Mfano wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 tulisikia mgombea wa CHADEMA akinadi sera yao juu ya uchimbaji madini, na wao walidai kuwa wataruhusu madini na natural resources kuwa kuwa mali za wawekezaji wa kigeni.

Pia bila hata aibu mgombea wao alinadi juu ya kutoingilia faragha za watu wanaokiuka sheria za nchi yetu kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.

Kwa sera mbovu na itikadi mbovu kama hizi hata kama tupate katiba mpya hakuna mtanzania ambae atakubali CHADEMA iwe chama dola.
 
Kwa akili yako unadhani cdm haikubaliki? Unatolea mfano uchaguzi wa 2020 bila aibu hivi upo Tanzania kweli? Kama katiba mpya sio issue uoga wa Nini kuiruhusu?
 
Uchaguzi wa 2020 ndio ulikuwa muda muafaka wa kunadi sera za Cdm. Ndio tuliwapima kama mnakubalika.
 
Mleta mada sio yeye anaeongea, kna mwaka Baba yangu alituita usiku, siku hyoo alitwaambia namnukuu "wanangu nawausia kama njaa mtairuhusu itawale matumbo yenu basi mjue, huo wakati ndy mtakua akili zenu zmehamia tumboni "mwsho wa kunukuu!! .
 
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono.

Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya kukamata dola. Wanashindwa kuelewa kuwa ili ukamate dola lazima na sera na itikadi zitazo wafanya wananchi kuunga mkono chama chao.

Mfano wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 tulisikia mgombea wa CHADEMA akinadi sera yao juu ya uchimbaji madini, na wao walidai kuwa wataruhusu madini na natural resources kuwa kuwa mali za wawekezaji wa kigeni.

Pia bila hata aibu mgombea wao alinadi juu ya kutoingilia faragha za watu wanaokiuka sheria za nchi yetu kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.

Kwa sera mbovu na itikadi mbovu kama hizi hata kama tupate katiba mpya hakuna mtanzania ambae atakubali CHADEMA iwe chama dola.
Wanataasisi ya hpp/sgang ndio mnao kwa Misha upatikanaji wa katiba mpya. Mnacho shindwa kujua kuwa Hilo ndio hitaji la watanzania Kwa Sasa.
 
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono.

Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya kukamata dola. Wanashindwa kuelewa kuwa ili ukamate dola lazima na sera na itikadi zitazo wafanya wananchi kuunga mkono chama chao.

Mfano wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 tulisikia mgombea wa CHADEMA akinadi sera yao juu ya uchimbaji madini, na wao walidai kuwa wataruhusu madini na natural resources kuwa kuwa mali za wawekezaji wa kigeni.

Pia bila hata aibu mgombea wao alinadi juu ya kutoingilia faragha za watu wanaokiuka sheria za nchi yetu kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.

Kwa sera mbovu na itikadi mbovu kama hizi hata kama tupate katiba mpya hakuna mtanzania ambae atakubali CHADEMA iwe chama dola.
Huo ndo ukweli.
lakini inahakisi uwezo wa akili yao, hasa akili ya kiongozi wao mkuu!
 
Mada kama hizi ndio zinachangia JF yetu ionekane kama kijiwe cha kahawa,middle class wewe unatulia na una apply mind yako na unakuja na mada hii ya kimichongo!kweli tunaishi nchi ya mchongo.
 
Sera za CCM ni zipi?nakupora rasilimali za nchinkwaajili ya familia ya wachache, na kupandisha mahitaji ya msingi ya wananchi?
 
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono.

Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya kukamata dola. Wanashindwa kuelewa kuwa ili ukamate dola lazima na sera na itikadi zitazo wafanya wananchi kuunga mkono chama chao.

Mfano wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 tulisikia mgombea wa CHADEMA akinadi sera yao juu ya uchimbaji madini, na wao walidai kuwa wataruhusu madini na natural resources kuwa kuwa mali za wawekezaji wa kigeni.

Pia bila hata aibu mgombea wao alinadi juu ya kutoingilia faragha za watu wanaokiuka sheria za nchi yetu kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.

Kwa sera mbovu na itikadi mbovu kama hizi hata kama tupate katiba mpya hakuna mtanzania ambae atakubali CHADEMA iwe chama dola.
Wewe Idugunde kweli una akili za mbuzi, CHADEMA haihitaji katiba ili kujenga hoja au kujulikana.
Madai ya Katiba Mpya yako palepale hata mkitungia watu kesi ili muwafunge.
 
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono.

Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya kukamata dola. Wanashindwa kuelewa kuwa ili ukamate dola lazima na sera na itikadi zitazo wafanya wananchi kuunga mkono chama chao.

Mfano wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 tulisikia mgombea wa CHADEMA akinadi sera yao juu ya uchimbaji madini, na wao walidai kuwa wataruhusu madini na natural resources kuwa kuwa mali za wawekezaji wa kigeni.

Pia bila hata aibu mgombea wao alinadi juu ya kutoingilia faragha za watu wanaokiuka sheria za nchi yetu kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.

Kwa sera mbovu na itikadi mbovu kama hizi hata kama tupate katiba mpya hakuna mtanzania ambae atakubali CHADEMA iwe chama dola.
Mie nadhani kuna madai ya msingi ya kupatikana katiba mpya au mabadiliko ya kisheria na kimfumo. CDM na wapinzani wana madai ya msingi ambayo hayatakiwi kujibiwa kirahisi namna hii. Kama mpinzani anasema tume sio huru, nadhani kiongozi yoyote alieko madarakani ana hoja ya msingi ya kujibu.

Maana nyengine ni kuwa raisi au CCM haishindi uchaguzi bali inapita kwa kutumia mgongo wa tume. Hatujawaona wakitoka hadharani kujibu tuhuma hizi za kuwa tume muundo wake ni wa kihuni. Sawa na mechi ya mpira, mwenzako anacheza kiwanja cha nyumbani, ameleta mpira, referee na wasaidizi wote. Halafu mpinzani wake hata washabiki wake pia wamepigwa marufuku kwenye game, halafu ushinde game na kuanza kujitapa umeshinda.....Wengi watakushangaa wenye akili timamu ni wazi utashinda kwa mazingira ya namna hii.
 
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono.

Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya kukamata dola. Wanashindwa kuelewa kuwa ili ukamate dola lazima na sera na itikadi zitazo wafanya wananchi kuunga mkono chama chao.

Mfano wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 tulisikia mgombea wa CHADEMA akinadi sera yao juu ya uchimbaji madini, na wao walidai kuwa wataruhusu madini na natural resources kuwa kuwa mali za wawekezaji wa kigeni.

Pia bila hata aibu mgombea wao alinadi juu ya kutoingilia faragha za watu wanaokiuka sheria za nchi yetu kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.

Kwa sera mbovu na itikadi mbovu kama hizi hata kama tupate katiba mpya hakuna mtanzania ambae atakubali CHADEMA iwe chama dola.
Katiba siyo mali ya chama bali ni msingi na ramani ya nchi bora. Takataka zote za sasa mfano, eti rais unateua kiongozi wa mhimili mwingine wa nchi ni ujinga. Mgombea unaandaa wasimamizi wa uchaguzi unaowania ni ujinga zaidi.
 
Back
Top Bottom