Wanaoitwa wahuni Mungu alishawakataa. Kama nchi hatuwezi kurudia tena makosa yale -- never!

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and Enemies,

Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen..

Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid wao,kwani mwenye mamlaka katika huu mgongo wa ardhi ni Allah PEKEE, mwana wa Adam umekuja bila kitu chochote and soon utaondoka juu ya huu mgongo wa ardhi kama ulivyokuja,bila kitu chochote..

Look at stupid and dull person like pole pole, leo anakuja mbele ya umma wa watanzania wale wale ambao alikuwa anawabeza na kuwadharau kipind kile akiwa na MWENDAZAKE had kufikia hatua ya kuwatengenezea bunge la Chama kimoja kwa kuhujum Haki zetu kwenye ballot boxes Kihuni kbs, huku akiratibu kampen za chini kwa chini ya kwamba huyo jamaa yake apende asipende ataongezewa muda, kuna uhuni gani kushinda ule?

Incumbent politicians likes of tundu lisu wanapigwa risasi mchana kweupe katika viwanja vya bunge,nusura kifo, ni huyu huyu pole pole alikuwa anaratibu marufuk ya mbunge yyte wa CCM asidiriki hata kuinua saut ya kutoa japo pole kwa m bunge mwenzao aliepata shambulio la kikatili kama lile,eti leo anakuja kuhubir kuwa tukatae wahun, kuna wahuni zaidi ya wale ambao alikuwa anawalinda?

People like Bashite, Sabaya, Musiba na watu wasiojulikana ni wahun ambao by the time yeye yuko mwenezii wa MWENDAZAKE hakuthubut hata kuwagusa leo anapata wapi nguvu ya kusogea mbele ya Watanzania.

Ajifunze kwa mwenzake bashiru,

Wahuni waliokawa wanataka watake wasitake wameshakataliwa na mungu,na atambue kuwa tumejifunza kutokana na makosa yale,ni risk Sana kuongozwa na watu washamba na wenye fikra za kimaskin kama za regime hii iliyopita,

Akubali asikubali hivi vyama vina wenyewe,

Ccm ina wenyewe,chadema ina wenyewe,cuf ina wenyewe,

Huwez from nowhere eti umetoka kwenu huko kakonko uende Moshi umtoe mbowe uchukue uenyekiti wa chadema,are you crazy?are you running out of your mind?

Pole pole na gang iliyo nyuma yake,watambue zama Zina badilika,walipokawa madarakan walishatuonesha sura zao halisi,hawaaminik Tena,it's all over
 
Pole pole is just an opportunist,

He's no longer a party of inner circle,now anaweweseka, after all Kwan lazima awepo??and if he's not satisfied na ccm si aondoke?Kwan lazima abakie hapo akipiga kelele,mbona wenzake kama lowassa,membe,nyalandu na wengine wengi walihama chama?
 
Ingekuwa mtihani nigekupa 100% kwa uandishi wako makini, umepiga punch za ukweli bila kupepesa...Polepole ni mtu ambae hana aibu! Na ni mjinga, kwasababu anadhania watanzania si wajinga, na hatusau!!!
 
Chakubanga ni muhuni kama hao anaowaita wahuni.

Anasema wahuni wanazo kauli zenye kubadilika-badilika. Yeye msimamo wake wakati wa Kikwete kuhusu #KatibaMpya ulikuwa YES.

Magufuli alipompa cheo CCM msimamo wake ukabadilika na kuwa NO. kwanini asiitwe MUHUNI TAPELI?
 
Inashangaza Sana,Tena zaid ni kwamba anachokisema ndicho uhalisia alionao yeye,by the time kikwete yupo in power alikuwa kinara wa katiba mpya,by then yupo na MWENDAZAKE akaruka kiunz had kufikia hatua ya kufanya propaganda waongezewe muda wa kutawala hata kwa Kucheza na katiba,jitu flan la hovyo hovyo sana
 
Ingekuwa mtihani nigekupa 100% kwa uandishi wako makini, umepiga punch za ukweli bila kupepesa...Polepole ni mtu ambae hana aibu! Na ni mjinga, kwasababu anadhania watanzania si wajinga, na hatusau!!!

Lakin pia ukimsoma na kusikilza anachokisimamia ni waz waz ana gang nyuma yake inayomtia huo ujinga,ni gang la wajinga na wapumba.vu kama yeye pole pole wanaodhan ya kwamba tumesahau wao ni watu wa aina gan
 
Hakuna hoja hata moja ya Polepole iliyopanguliwa!!! Hivi bado upo CUF ama ACT Wazalendo?
 
Hakuna hoja hata moja ya Polepole iliyopanguliwa!!! Hivi bado upo CUF ama ACT Wazalendo?

Hana hoja yyte ya kupanguliwa,

Tunamuambia uhalisia wake kuwa Hana moral authority yyte ya kuinua kinywa chake,yeye ndie alishirik kutufikisha tulipo Hana Cha kutuambia,zaid zaid anapaswa kutuomba radhi,
 
Look at stupid and dull person like pole pole,
images (2).jpeg

Unayajua mavieitee wewee!!
 
Chakubanga ni muhuni kama hao anaowaita wahuni.

Anasema wahuni wanazo kauli zenye kubadilika-badilika. Yeye msimamo wake wakati wa Kikwete kuhusu #KatibaMpya ulikuwa YES.

Magufuli alipompa cheo CCM msimamo wake ukabadilika na kuwa NO. kwanini asiitwe MUHUNI TAPELI?
Yeye kama msomi,nilidhani anataka kufafanua juu ya mambo ambayo hayakuwapendeza wananchi katika awamu ile aliyokuwepo.Mambo kama ya uchaguzi 2019 serikali za mitaa,na uchaguzi mkuu 2020,Kodi za uonevu, na mambo mengine mengi yafananayo na hayo.Anapoongea habari ya wahuni,angeanzia hapo labda angeeleweka. sasa anapokuja na hadthi nyingi za kusadikika,ni kuwakwaza watu na kuwakumbusha yaliyopita.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Exactly,na hao wahun anaowasema awataje basi,kuweka mafumbo ni uoga na unafiki,hata hivyo regime hii nature yake siyo praise team kama Ile,inatakiwa watu wa mfumo au watu wenye reasoning capacity kidogo,huyo pole pole ni kihiyo na opportunist tuh
 
Back
Top Bottom