Kama unashangaa ubabe aliyofanyiwa Shyrose Banji, basi hujayasikia ya Abdallah Bulembo na Dr. Kafumu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
23,412
55,244
Ndugu zangu watanzania tupiganie katiba mpya ili iwe ndiyo nira na ngamia ya kuwadhibiti viongozi wetu wa kisiasa. Hasa rais ambaye madaraka yake kwa katiba yetu ya sasa yamevuka mipaka ya kibinadamu. Katiba inampa rais umungu mtu.

Wiki iliyopita dada yetu Shyrose Banji alimlalamikia rais Magufuli na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi kutumia madaraka yake vibaya na kuamua kukata jina lake kibabe. Hata pale walipojitokeza wajumbe 4 kutaka kutoa maelezo na sifa za dada Shyrose JPM alisisitiza hataki kulisikia jina hili na kutaka likatwe.

Lakini hayo ya Shyrose Banji ni madogo sana ukilinganisha na yale yaliyowakuta akina Abdallah Bulembo na Dr. Kafumu ktk kikao cha wabunge wa ccm tupu wao huita "caucus" . Ambapo mwenyekiti alikuwa akiwalisha yamini wabunge wa ccm kukubaliana na kila linalofanywa na serikali.

Mnyetishaji wangu kanifunulia kuwa Dr. Kafumu alipewa makavu laivu eti kwamba kamati yake inaponda kila mkakati na sera zilizoandaliwa na serikali kwa sabb Dr. Kafumu alitarajia kupewa uwaziri. Sasa hasira zake za kukosa uwaziri ndiyo kazihamishia kwenye maoni ya kamati aliyokuwa akiiongoza. Daah! Jamani!

Lkn pia ni kamati ya Dr kafumu ndiyo iliyopanga kwenda kumuona Lema gereza la Kisongo ambapo mhe rais na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi alilaani mpango huu uliyoshindikana kutekelezwa baada ya muda kukosekana. Ikumbukwe Lema ni mjumbe wa kamati hii. Mambo haya ndiyo yaliyowafanya Dr. Kafumu na Vicky Kamata kuamua kuachia nafasi zao kwenye kamati hii.

Mwenyekiti wa chama hakuishia hapo. Alimdhalilisha Abdallah Bulembo ambaye ndiyo kwanza alikuwa ameteuliwa kuwa mbunge kwa kumtaka amkanye mwanaye wa kike ambaye pia ni mbunge. Eti kwasabb mwanaye huyu ana mahusiano na mbunge wa upinzani hivyo kwa vyovyote atakauwa anatoa siri za ccm kwa mchepuko huo wa upinzani.

Kwa hili kwakweli Abdallah Bulembo Kama kweli uliambiwa haya mbele ya wabunge wenzako na mbele ya mwanao, basi ulidhalilishwa sana. Binti yako sasa ana miaka 22 na ni mbunge. Wewe unahusika vipi na mahusiano yake ya kimapenzi yasiyo rasmi? Siyo rasmi kwasabb mwanao hajakuletea huyo mwanaume umtambue rasmi. Mwanao anakata kiu tu ya kiutu uzima.

Kwa mila na desturi za kiafrika baba hapaswi hata kuambiwa kuwa mwanae wa kike ni mchepuko wa fulani. Ni mwiko. It is an abomination.

Rais huyu si mara ya kwanza kuwararua wenzake mbele za watu. Tunayakumbuka ya balozi Mahiga na waziri Lukuvi kuhusu wake zao.

Suluhu ya kashfa zote na dharau zote hizi ni katiba Mpya.
 
Ulichokiandika ww mwenyewe huna uhakika kama alikisema. Cha ajabu unaanza kumhukumu na huna uhakika kama amesema. Ni vizuri ukajichunga huo ubongo wako
 
Kama usemayo yana ukwel basi nategemea 2020 maguful atakosa kabisa watu wa kumpa support asilimia 100% atazungukwa na wanafiki ambao wanaweza kuchangia asiweze kupenya
 
Mimi nikianzisha thread ya kutunga kama yako kuhusu kikao cha chadema kilichofanyika Tanga itafutwa maramoja...

Nani asiyejua kuwa Mwenyekiti wenu wa maisha alitaka kutumia ubabe kumuweka Ndesamburo viongozi wa mikoa ya kanda ya kaskazini wakamgomea akaamua kuwafuta uongozini???

Mnataka kutufanya tusahau ya Iringa mwenyekiti alipoingia kwenye kikao na majina ya viongozi na kumbeba Msigwa na kumuacha chagua la wajumbe Ole Sosopi???

Kunya anye bata ila akinya kuku nongwa...
 
Yaliandikwa sana humu tukavumilia. Ni zamu yenu sasa kuvaa ngozi ya mamba. Maana mwenyekiti wenu kavaa miwani ya mbao na ameweka pamba masikioni. Haoni wala hasikii.
 
Sasa su mfurahi kwakuwa asikii ili 2020 akose kura??? Kiherehere chenu cha nini sasa. Yani kutunga uongo kawaida yenu.

Eti mnashangaa ya Magufuli yakwenu ya kuja na majina 02 bungeni yapitishwe bila kupingwa hamuyaoni....
 
Kama usemayo yana ukwel basi nategemea 2020 maguful atakosa kabisa watu wa kumpa support asilimia 100% atazungukwa na wanafiki ambao wanaweza kuchangia asiweze kupenya
Mkuu nyuma ya Dr kafumu na Vicky Kamata kuachia nafasi zao kuna mazito zaidi ya hayo. Sizonje kaamua kujitoa akili.

Shyrose, Nape, Msukuma, etal wanalalamika, unadhani kuna usalama nyumba ya jirani?
 
Ndugu zangu watanzania tupiganie katiba mpya ili iwe ndiyo nira na ngamia ya kuwadhibiti viongozi wetu wa kisiasa. Hasa rais ambaye madaraka yake kwa katiba yetu ya sasa yamevuka mipaka ya kibinadamu. Katiba inampa rais umungu mtu.

Wiki iliyopita dada yetu Shyrose Banji alimlalamikia rais Magufuli na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi kutumia madaraka yake vibaya na kuamua kukata jina lake kibabe. Hata pale walipojitokeza wajumbe 4 kutaka kutoa maelezo na sifa za dada Shyrose JPM alisisitiza hataki kulisikia jina hili na kutaka likatwe.

Lakini hayo ya Shyrose Banji ni madogo sana ukilinganisha na yale yaliyowakuta akina Abdallah Bulembo na Dr. Kafumu ktk kikao cha wabunge wa ccm tupu wao huita "caucus" . Ambapo mwenyekiti alikuwa akiwalisha yamini wabunge wa ccm kukubaliana na kila linalofanywa na serikali.

Mnyetishaji wangu kanifunulia kuwa Dr. Kafumu alipewa makavu laivu eti kwamba kamati yake inaponda kila mkakati na sera zilizoandaliwa na serikali kwa sabb Dr. Kafumu alitarajia kupewa uwaziri. Sasa hasira zake za kukosa uwaziri ndiyo kazihamishia kwenye maoni ya kamati aliyokuwa akiiongoza. Daah! Jamani!

Lkn pia ni kamati ya Dr kafumu ndiyo iliyopanga kwenda kumuona Lema gereza la Kisongo ambapo mhe rais na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi alilaani mpango huu uliyoshindikana kutekelezwa baada ya muda kukosekana. Ikumbukwe Lema ni mjumbe wa kamati hii. Mambo haya ndiyo yaliyowafanya Dr. Kafumu na Vicky Kamata kuamua kuachia nafasi zao kwenye kamati hii.

Mwenyekiti wa chama hakuishia hapo. Alimdhalilisha Abdallah Bulembo ambaye ndiyo kwanza alikuwa ameteuliwa kuwa mbunge kwa kumtaka amkanye mwanaye wa kike ambaye pia ni mbunge. Eti kwasabb mwanaye huyu ana mahusiano na mbunge wa upinzani hivyo kwa vyovyote atakauwa anatoa siri za ccm kwa mchepuko huo wa upinzani.

Kwa hili kwakweli Abdallah Bulembo Kama kweli uliambiwa haya mbele ya wabunge wenzako na mbele ya mwanao, basi ulidhalilishwa sana. Binti yako sasa ana miaka 22 na ni mbunge. Wewe unahusika vipi na mahusiano yake ya kimapenzi yasiyo rasmi? Siyo rasmi kwasabb mwanao hajakuletea huyo mwanaume umtambue rasmi. Mwanao anakata kiu tu ya kiutu uzima.

Kwa mila na desturi za kiafrika baba hapaswi hata kuambiwa kuwa mwanae wa kike ni mchepuko wa fulani. Ni mwiko. It is an abomination.

Rais huyu si mara ya kwanza kuwararua wenzake mbele za watu. Tunayakumbuka ya balozi Mahiga na waziri Lukuvi kuhusu wake zao.

Suluhu ya kashfa zote na dharau zote hizi ni katiba Mpya.
Yametokea lini hayo ya akina Bulembo? Kwani Mwenyekiti wao yupo Dodoma? Au ni Yale ya kipindi kile?
 
Back
Top Bottom