Wadau,
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kudhibiti vya vya upinzani hususani CHADEMA, msajili wa vyama ameamua kukalia cheki za vyama hivyo na kutoa cheki ya CCM.
Huku vyama vingine...
Pamoja na kupungukiwa subira hakika JPM alikuwa na tamaa ya dhati kabisa kuisaidia Nchi yetu iweze kufikia maendeleo ya kweli.
JPM hakuwa na subira ya hata chembe kitu ambacho kiliwaumiza na...
Ili kuweza kukitoa chama tawala madarakani, ni wazi kuwa panahitaji chama ambacho kitakuwa mbadala wake, chenye nguvu kama au walau kukaribia nguvu chama tawala. Hali inapokuwa kinyume na hapo, ni...
Akihojiwa katika kipindi cha ajenda na Mtangazaji Mtozi Nyanda amesema bandari ya Bagamoyo si muhimu kuliko bandari ya Dar na Tanga.
Kazungumzia katiba mpya na kasema haipingi usipokuwa kuna...
Kama ilivyo picha rasmi ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,na namna ya kumwita tuwekwe wazi. Kuna picha maalum na rasmi ya Rais. Na namna ya kumtaja tunapaswa kuambiwa.
Tunahofu ya...
CCM NA SERIKALI JIBUNI HOJA ZA POLEPOLE, MSIMZIME KIDOLA.
Na Yericko Nyerere
Kinga uliyonayo ni kwa muda tu, hakuna kinga ya kudumu, Hata Job Ndugai na wenzake kinga walizojiwekea kipindi...
Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste.
Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya...
Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii;
"Aaaah kiroboto🤣🤣ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe...
Kuna mjadala unaendelea star tv kati John Heche na Mh Chegeni
Kiukweli kuitetea CCM ni kazi sana, Dr Chegeni sijui kwa nini amekubali kushiriki huu mjadala kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo...
Ni Albert Msando.
Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?
What was he doing there? Fingering her?
What the hell is wrong with you...
Kabla nawe hujageuka mchawi, tazama video niliyokuwekea halafu usiwe mgumu wa kuelewa.
Aliyeruhusiwa kuota tena ni binti wa Kitanzania, popote pale alipo. Nazungumzia binti yeyote ambaye sasa...
Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya...
Imeandikwa unapokuwa na Warumi (Waroma), ishi na endana na tabia za Warumi.
Lakini pia imesemwa yeye apendaye amani wakati wa vita basi dalili zi wazi kuwa atakufa au kujeruhiwa mapema.
Kuna wale...
Raisi Kenyatta wa Kenya amemteua mtu anaeitwa Bridgedia General John Kibaso Warioba kuwa mkuu wa jeshi la Magereza la kenya.
Je, kuna uhusiano wowote kati ya huyo Bridgedia Warioba na jaji...
HUMPHREY POLEPOLE UPEPO WA KISASI UNAKUANDAMA. CHUNGA SANA. MUNGU ANAKULIPA.
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Kisasi kisasi! Ni Jambo la hatari ambalo linaweza kuzuilika lakini ni ngumu kuzuilika...
Kwa sasa kumekuwa na vita kali ya maneno, dhihaka, majigambo, vitisho na kebehi mbalimbali baina ya makundi mawili ndani ya CCM, kundi moja likiunga mkono utawala uliopita wa Magufuli (huku...
Nimesoma Dar, nimeishi Dar kabla sijahamia Mkoani Ruvuma, kusema kweli Dar imekuwa na sifa kuu 3
1. Uchafu
2. Mipango miji mibovu iliyopelekea ujenzi holela wa Makazi hadi maeneo ya biashara(...
Hii ndio taarifa iliyofichuka kwenye hafla ya kukabidhi kadi za Premium iliyopewa jina la Jubilant, kwa wanachama wa Kanda ya Pwani, inayorindima leo hii, hapa pana mkusanyiko wa kadi za Gold ...
Je, watanzania tuna msimamo gani na mtazamo gani juu ya chama tawala?
Tunatarajia nini kwa hali iliyopo kuhusu uhalali wa chama hiki kuendelea kuongoza taifa letu?
Mwalimu Nyerere mwaka 1962...
Magufuli alituwekea Profesa Kabudi mambo ya nje akavuruga mahusiano yote ya kimataifa. Mama Samia kaingia amemteua Balozi Liberata Mulamula, leo Mama Samia amehutubia mikutano huko UN. Mambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.