Tanzania: Vyama vya upinzani vyanyimwa ruzuku Rasmi

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Wadau,

Katika kile kinachoonekana kuwa ni kudhibiti vya vya upinzani hususani CHADEMA, msajili wa vyama ameamua kukalia cheki za vyama hivyo na kutoa cheki ya CCM.

Huku vyama vingine vikiendelea kukalia kuti kavu, kwasasa bwana Tendwa ameamua kuonyesha U-CCM wake moja kwa moja baada ya kuelezwa kuwa hela wanayoipatia CHADEMA (ambayo ni halali kuipata) ndiyo inayoimaliza CCM kwa CHADEMA kujijenga zaidi.

Hivyo basi, wakaamua kukalia ruzuku za vyama vingine kwa kisingizio kuwa CHADEMA wakilalamika wataambiwa mbona hata CUF wala NCCR hawajachukua? Ila ukweli ni kwamba lengo ni CHADEMA na vyama hivi vingine vinaelewa mchezo mzima baada ya mbinu ya CCM ya kuitumia CUF kufa kabla ya utekelezaji.

Tuko hapa ofisini huyu msajili anakera sijui Demokrasia anayoisimamia ni ipi? Ofisi nzima tumeduwaa kwakuwa tumeona hizo cheki na CCM kupewa yao ila wengine hususani CHADEMA hakuna!

UPDATE:

Baada ya Habari hii kuingia humu JF Leo Tarehe 06/10/2012. Ninavyoandika hapa, tumeitishwa kikao cha dharura, aliyeitisha anasema sababu ya kikao hicho ni kutotunza siri za ofisi na kuanza kuliki kwenye mitandao ya kijamii, kwa yeyote anayetaka kujakujua ukweli aje aone kama atapata huduma.

Ila ninachosikitika kuna watu humu ofisini wameazwa kuhisiwa kutoa taarifa kumbe siyo wao.Nitawajuza nini kiliendelea baada ya kikao.
 
Lakini suala za ruzuku ni sera ya taifa wala si utashi wa msajili wa vyama, kama ni kweli basi Tendwa anakotupeleka siko. Kutazuka fujo balaa hapa!!!!
 
ashtakiwe wa kufanya kazi kisiasa. mtumishi wa umma ovyo!!! ndo madhara ya kuteuliwa hayo
 
Lakini suala za ruzuku ni sera ya taifa wala si utashi wa msajili wa vyama, kama ni kweli basi Tendwa anakotupeleka siko. Kutazuka fujo balaa hapa!!!!

Ametushangaza sana sisi wafanyakazi wa ofisini kuweka bifu zake binafsi mpaka kwenye mambo ya kisera, Tendwa hashauriki kwasasa na huu ni msukumo wa kisiasa kutoka chama Tawala, tumemueleza wazi kuwa chadema walisema hawatafanya kazi na wewe na siyo ofisi yako, Sasa kwanini Tusiwape ruzuku yao? Mbona hawa chama Tawala wamechukua?
 
aaah! kumbe hela mnapata sasa mbona mnatuchangisha na sisi wananchi wakat hatujui hzo mnazopata mnazifanyia nini...wizi mtupu
 
No matter what, CDM WILL SHINE, hata akikalia tutachanga na operations zitaendelea mpaka kieleweke
 
Mwache ajichimbie kaburi. Huyu ni miongoni mwa wazee wapumbavu wanaofikiri CCM itatawala milele.
 
Je anatoa sababu zipi za kuhold hiyo ruzuku? Nadhani anasababu zake. Sidhani kama anajiamini kiasi cha kuhold bila sababu ya msingi.
 
Adhabu anayositahili kuipata huyu Tendwa ni ile ya aina ya OSAMA BIN LADEN.
 
chadema imeingia hadi kwenye damu ya watanzania,tutachanga zaidi ya ruzuku,lakini pia lazima ruzuku tupate no matter what labda ziwepo sababu za msingi
 
Wadau.........hivi CCM wanapata ngapi? ...... CDM?...... CUF nao? mwenye kujua anijuze tafadhali..... ..
 
aaah! kumbe hela mnapata sasa mbona mnatuchangisha na sisi wananchi wakat hatujui hzo mnazopata mnazifanyia nini...wizi mtupu
Acha unafiki wew!eti mnatuchangisha kwani ulilazimishwa kuchanga kwanza hata kadi huna boya wewe!
 
Back
Top Bottom