Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu Kazi Iendelee. Nadhani Kitabala na Learned Counsels Wenzake Wanapashwa Kujitafakari Jinsi Wanavyoendesha Kesi Yao. Kama Defensive Counsels Kila Wakati Wao Ni P.O Tu Kwenye Exbits Ambazo...
0 Reactions
4 Replies
834 Views
Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu? Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani...
21 Reactions
76 Replies
5K Views
Jana ITV waliwahoji wananchi mbalimbali kuhusiana na malalamiko ya ongezeko la bei za bidhaa mbalimbali kuanzia vyakula vifaa vya ujenzi, nishati hadi mnolea. Wote waliohojiwa walidai huko mtaani...
2 Reactions
1 Replies
485 Views
Wanaukumbi. CHADEMA hakina Sera ya chama madhubuti, kila mtu ni msemaji. Vijana wa CHADEMA kumtukana kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama chao, bila kujua mpiga kura huwa anabadilika...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Hivi karibuni Tanzania Bara (Tanganyika) Tuliadhimisha kutimiza miaka 60 tangu bendera ya mkoloni Mwingereza iliposhushwa na ile ya Tanganyika kupandishwa na hivyo kuwa nchi huru. Kupata uhuru...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wasomaji, pokeeni (attached) ripoti mpya iliyosambazwa leo hii iitwayo: 'Monitoring the Watchdog: How the media covered the 2020 elections'
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ni habari ya kweli Nina toa rah kwa taaasisi za kifedha zote nchibi kama Kuna mpinzani alinunuliwa na Yule kiroboto wakishirikiana na Bashiru na mwendazake muda ujao mambo yatakuwa Bam bam...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
..kuna mahabusu 186++ wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi ktk magereza mbalimbali. ..Ndugu zao wamezungumza ktk vyombo vya habari kama wanavyoonekana hapo chini. Cc amanibaraka
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi kama raia wa kawaida nisiye na chama chochote hapa Tz, napenda kuwashauri mawakili wa chama cha Chadema ambao wanamtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya ugaidi wajitoe mapema tu. Nimefuatilia...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
  • Closed
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekuwa ni mtu mwenye kauli zenye makeke mengi lakini outcome ni kidogo sana. Leo hii rais anazungumzia kuhusu madudu bandarini, lakini ikumbukwe kuwa yeye siyo wa...
9 Reactions
33 Replies
4K Views
Kama ilivyo tarajiwa hukumu ya leo haikuwa na jipya kama zitakavyokuwa za siku zijazo. Refa kajikita kutafuta chochote dhidi ya upande wa utetezi ili kutupilia mbali lolote wanalo wasilisha...
2 Reactions
2 Replies
800 Views
Hakuna tofauti kati ya style za uongozi wao wakiwa vyama vya upinzani na historia inayojirudia CDM to kuanzisha ACT NCCR to TLP Wanafanana
7 Reactions
16 Replies
996 Views
LEO Desemba 05, 2021 NILIFUNDISHWA Kuishi na VIONGOZI Wenzangu, UPENDO Ndio KILA KITU" LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki...
13 Reactions
185 Replies
16K Views
TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Samia Suluhu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mchina wa kampuni inayojenga barabara ya Afrika mashariki huko Handeni mkoani Tanga amemtimua DC Mchembe na wasaidizi wake waliotaka kuingia ndani ya ofisi za Wachina kukagua. Chanzo: ITV habari
1 Reactions
39 Replies
3K Views
CHADEMA wimegeuka kuwa Chama Cha Twitter, msemaji wao mkuu ni Mari Sarungi. Wako bize sana mtandaoni kupiga domo. Hawana hoja za maana tena,mijadala yao mikubwa ni mara Tanganyika haipo, mara...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Minyukano ndani ya CCM ni mchezo wa kuigiza ili kumpoteza mama asifanikiwe. Wabara wanaigiza ili kumpoteza mama Huu mnyukano unadhihirisha wabara tunavyotaka kumyumbisha Mama wa Zanzibar Hapa...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Katika mifumo ya kiuongozi katika nchi nyingi za dunia ya tatu, mfano nchi yangu mama Tanzania, viongozi wengi wanapokuwa kwenye hatamu za uongozi wa juu (Rais) ni lazima wamiliki genge...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Enyi walimwengu Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo...
12 Reactions
33 Replies
45K Views
Back
Top Bottom