Star TV: John Heche vs Chegeni, kuna mjadala mkali sana kuhusu bandari ya Bagamoyo

Rafael Chegeni amesema Magufuli alipotosha umma kusema kwamba eti content ya mkataba ilikuwa ya kifisadi.

Amepuuzilia mbali kauli kwamba kikuwa na mkataba wa ujenzi wa banadari ya Bagamoyo.

Akamalizia kwa kusema "Polepole nj kiroboto"
 
Dk. Chegeni anasema zile kauli za JPM kuhusu mkataba wa bagamoyo zilikuwa porojo tu.
Hizo "porojo" zinafaa kujibiwa a ushahidi uliopo; vinginevyo na wao watakuwa wanapiga porojo tu.

Waweke wazi kilichokuwepo ambacho Magufuli alikipigia porojo, hapo ushahidi utakuwa umekamilika..
 
Magufuli aligoma midahalo ya hivyo, na bunge live maana anajua mara zote ccm huwa wanalambishwa mchanga. Na mijadala ya hivyo ikiendelea kuruhusiwa sasa hivi utasikia ccm imekata pumzi.

Nguvu ya ccm ni kuhakikisha hakuna mijadala ya pande mbili, na mijadala inayotakiwa ni ya kumsifia rais tu. Ukiona ccm wanakimbia midahalo wakati wa kampeni hawakimbii kwa bahati mbaya, maana nafasi ya kudanganya haipatikani.
 
Back
Top Bottom