Enyi walimwengu
Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo...
Mh. Japho temmbelea highy way zetu uone zilivyochafuliwa na chupa za plastic na mabaki mengine yanayotupwa hovyo na mabasi na watumiaji wengine, utajua hujui na ukiwa mzalendo unaweza uka signoff.
#HABARI Jeshi la Polisi Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, limelalamikiwa na mfanyabiashara Rehema Mwagao, kwa kitendo cha kumuachia mhaliifu kinyemela aliyetuhumiwa kutapeli fedha kiasi cha Dola...
Wakuu, Jana katika hotuba yake , Rais Samia alionesha mashaka makubwa juu ya utendaji wa jeshi la polisi kwa mifano dhahiri, huku akituthibitishia ni kwa nini Askari wetu wamekuwa hawana utu na...
Katika hali ya Kushangaza sana mamlaka za mkoa wa Tabora zimeruhusu kanisa la wahuni kujengwa katikati ya barabara na kuziba barabara katika mtaa wa Kariakoo , kata ya Kitete , wilaya ya Tabora...
Yuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
Kwanza, katiba ya nchi inatoa haki na uhuru wa kutoa maoni yoyote kwa jambo au mtu yeyote ilimradi yasivunje sheria zilizopo. Polepole, Bulembo, Nape, nk.; wote wana haki hiyo.
Pili, si jambo la...
Wazungu wana bahari kubwa kuliko waafrika, na mchanga wa bahari uko kwenye fukwe na ndani ya maji Bahraini. Swali ni kwanini wazungu waje kuchimba mchanga huo TANZANIA? Je, huu mchanga wanaotaka...
Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu.
Hata adui Alie kupiga jiwe Jana akitoka...
HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA ITAKUTANA TAREHE 18 DESEMBA, 2021
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa...
Ni wazi CCM wanaamini kukosoana wenyewe ni kosa la jinai na hasa kumkosoa mwenyekiti ni dhambi isiyovumika!!
Vyama upinzani wanayo hii pia, Ila kwakuwa mada inawaangazia hao mashujaa watatu...
Polepole anatafuta namna ya kuwafanya Wananchi wajinga, anatafuta namna ya kutumia kile chumba anachodai kimevunjwa kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni mzalendo na hakujilimbikizia Mali, anataka...
Jambo moja nalijua hakika na nimelichagua hata nikibaki peke yangu kitu ambacho najua hakitatokea kwenye Nchi yetu kwamba nitasimama imara kupambana na wahuni ili kulinda na kuweka heshima ya...
Bulembo anapodiriki kusema Katibu Mkuu wa chama hakua mwana CCM anatuma salama Kwa akina Nassary, Mashinji, Mdee na wengine kwamba Muda wao wakufaidi keki ya Taifa umeisha wajiandae kukabidhi V8...
Waslaam,
Kuna mdau mmoja humu kwa kweli kanitafakarisha sana, amesema nimnukuu,
" mlipoichagua ccm hamkujua kuwa ni zimwi"
Kwa kweli nimepata uono fulani kutokana na kauli yake hiyo! Nimejiuliza...
Haiyumkiniki kuna kundi ndani ya CCM ambalo linajaribu kupotosha mwenendo wa kazi anazofanya rais kwa kivuli cha kumtetea rais.
Kundi hili limekuwa linatafsiri maneno ya watu au makada wa CCM...
Maisha kama gwaride kwa bwana Polepole, maisha ya mwanadamu yana steji kulingana na wewe umejiweka vipi. Unaweza kujiwekea hupo vipi ukaja kudharaulika mbeleni, kama kuweka heshima bar alafu kesho...
Hivi kweli kipande Cha sabuni enzi za Kikwete kilipanda kikafika shilingi Mia, eti juzi kwa utawala wako kimefikia shilingi 300/; nakumbuka mtungi wa Gesi ulikuwa kama sio 25000/; ulikuwa...
Katika taifa hili mtu ukifikiria sana unaweza weka kuona ni unafki mtupu umetamalaki kila mahali, yaani ni umbeya tu na Majungu ndiyo maisha yetu ya sasa.
Yaani Polepole huyu aliyekua...
Katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema bwana HENRY KILEWO amesema anawashangaa sana wabunge wa Dar es salaam kumlalamikia magufuli ile hali wao wenyewe wamelala bila hata ya kutambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.