Salaam Wakuu
Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani.
Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi.
Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI...
Moja kwa moja kwenye hoja,
Hivi ni mwanasiasa gani kutoka Tanzania awe wa CCM au kutoka upinzani, aliyemkosoa Magufuli vikali yaani bila unafiki kipindi Magufuli yupo hai Kama sio Lissu.
Lissu...
Ameshatufanya tusahau Sakata la Mbowe, Ugaidi na Makomandoo wake na sasa tujikite zaidi katika Sakata la wana CCM wanaopendana akina Polepole, Nnauye na Bulembo lakini wenye Akili fupi tunafurahia...
Ukiacha Taarifa za Kuumwa kwa Mh. Magufuli ambapo tulidanganywa Mchana kweupee tena katika Nyumba ya Ibada, katika siku tukufu.
Unadhani jengine lipi ambalo Mh. Kassim Majaliwa alilidanganya...
Huwa tunaamini kuwa kuishi kwingi ni kuona mengi.
Kwa umri wa ccm masarakani tulutegemea kuwa wavumilivu kwenye mambo ya migogoro.
Leo hii Polepole amejitokeza kuikosoa ccm kwa madhambi yao lkn...
Nchi ya Tanzania inaongozwa na sheria na kwa mujibu wa katiba hakuna aliye juu ya sheria.(hii kauli ni ya kishwaini kwani kama ndo hivyo kwa nn wengine wana kinga wengine hatuna?).
Msingi wa...
Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo.
Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria
mama anashusha nondo
Mchungaji Lusekelo amesema kiburi ni kwa ajili ya vijana siyo Wazee kwa sababu katika uzee ndio hutoka busara, hekima na Upendo kabla ya kumrudia muumba.
Hivyo mtu mwenye miaka 60 na zaidi ana...
Msanii wa reggae Ras Mtimanyongo amesema brigedia Moses Nnauye anatakiwa kutunukiwa kitu kikubwa kama kumbukumbu yake badala ya kufikiria kuliita soko jina lake.
Na kama ni lazima iwe ni soko...
Jaji Tiganga amekubaliana na wakili msomi Kibatala kwamba sababu alizotoa Wakili wa Serikali kuwa shahidi Jumanne ameshindwa kuja mahakamani kutokana na kuwa na dharura ni nyepesi sana.
Jaji...
Kwa mtazamo wangu, naona vyama vya siasa kususia mijadala hasa inayohusisha maswala la kisiasa sio suluhisho la changamoto zinazojitokeza katika nyanja hiyo.
Namwona Ztto Kabwe kama mtu mwenye...
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na...
Ni kilio cha muda mrefu cha wanasiasa wa Tanzania hususan vyama vya upinzani. Wanataka kurudishwa kwa mikutani ya hadhara ambayo ni haki yao ya Kikatiba, lakini iliminywa wakati wa utawala wa...
Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa.
Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo...
Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia.
Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi.
Kuna wanaCcm kumbe walifurahia...
Baada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais...
Tunaona kila kitu kinavyoenda na kwa kweli sio mbaya kabisa kwani Mbowe akifungwa itakuwa ni chachu Zaidi ya mapambano kwani very soon we will see the right light!
Leo Shahidi wa michongo Afande...
Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.
Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.
Kwa ufupi naona kama alikuwa...
Niwe muwazi hadi sasa sijaona kama polepole Anapingana na mama Samia, nilichoona ni polepole anapinga na wale anaoamini ni adui zake ndani ya chama.
Pia kwangu Mimi hili halina afya, ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.