Kauli zenye Utata: Kassim Majaliwa ni katika Mawaziri Wakuu waliotudanganya sana nchini

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,731
6,275
Ukiacha Taarifa za Kuumwa kwa Mh. Magufuli ambapo tulidanganywa Mchana kweupee tena katika Nyumba ya Ibada, katika siku tukufu.

Unadhani jengine lipi ambalo Mh. Kassim Majaliwa alilidanganya Taifa?.

Za kwangu hizi:

-Matokeo ya kamati ya Uchunguzi wa Moto Kariakoo sijayaelewa kabisa, lakini tuiachie mamlaka. Muda utatuambia.

Ndio shida ya kugawa uongozi kwa upendeleo.
 
Nilimdharau aliposema Faru John ameuzwa kwa majangiri kwa Tsh 200 Milioni kisha wakamuua na kuchukua pembe/ meno
 
Ukiacha Taarifa za Kuumwa kwa Mh. Magufuli ambapo tulidanganywa Mchana kweupee tena katika Nyumba ya Ibada, katika siku tukufu.

Unadhani jengine lipi ambalo Mh. Kassim Majaliwa alilidanganya Taifa?.

Za kwangu hizi:

-Matokeo ya kamati ya Uchunguzi wa Moto Kariakoo sijayaelewa kabisa, lakini tuiachie mamlaka. Muda utatuambia.

Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa ni moja ya watendaji wa kasi ya 5G tuliobahatika kama Taifa kuwa nao...ukitaka kujua inakuaje akutembelee eneo la mradi au ofisini kutaka maelezo....kwanza ana taarifa za kutosha mpaka ambazo wewe hauna ni mtu bingwa sana
 
Exactly
 
Back
Top Bottom