Kifo cha Hayati Dkt. Magufuli kimeipasua CCM. Je, huu ndio wakati wa wapinzani kutusua kisiasa?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,161
4,571
Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia.

Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi.

Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao.

Ccm ya sasa imepasuka maana kuna mpasuko mkubwa sana.

Je, sasa ndio wakati muafaka wa sisi wapinzani kuaminiwa na wananchi na kupaa kisiasa?
 
Mkuu Kamanda Asiyechoka , hakuna kitu kama hicho!, CCM haina mpasuko wowote!.

Wapinzani wepi hao wa kuaminiwa na wananchi?.
P
Ni kwel haijapasuka ina ila dereva na konda hawaelewani, na hapa Kati kaongezeka fundi, hakuna anaeonge lugha 1 dereva anawasha gari linawaka ila Moshi mweupe na Kisha gari linatembea kidg linazima, konda yy anasema twende tu, Sasa fundi kaja anatoa solution kuwa Ni lazima tuifumue injini yote tuisuke au kununua mpya, hapo Sasa shida inaanzia,

Abiria wapo tu wanatoa hata hawajui, Kama halitavutwa hli gari kwa kutumia gari lingene,hakuna namna nyingine zaidi ya kufumliwa injini, na Ikiwa hayawezekani yote hayo abilia wengi watakufa kabla ya kufika mwisho kwa kukosa mahitaji, maana wengi wa abilia hawana uwezo wa kumdu ghalama za njiani na hawakuwa na akiba ya kutosha,

Hapo vip PASKALI
 
Nachojiuliza misaada yote kwa HANGAYA alafu tozo zpo pale pale plus kupanda kwa bidhaa ZOTE...walisema bia zmepunguziwa kodi cha ajabu zpo pale pale....mm sjawahi kumkubali Magu but mwanamke hawez kuongoza taifa
Tatizo la hangaya ni mfumuko wa bei wa ghafla na kupanda Kwa gharama za maisha
 
Mkuu Pascal, wananchi hawana imani na Ccm hasa baada ya timu hayati na timu msoga kutifuana,fanya tafiti. Huu ndio wakati wa mabadiliko.
Mimi naungana na mzee Pascal ,hakuna upinzan Tanzania wa kutake over dhidi ya ccm ,Hawa wakina Hilda Newton ndio wakupindua ccm?

Upinzani ulikua ule wa Dr slaa kwasasa hakuna kitu kabisa .

Siwapendi ccm Ila ukweli Ni mchungu hakuna chama Cha kumtoa ccm kwa miaka ya hivi karibuni.

Wapinzan njaa Hawa Hawa waliohamia ccm makumi kwa makumi kisa tu wapate vyeo?
Wapinzan Hawa Hawa kila Leo hawaelewek Wana ajenda ipi kazi kudandia matukio tu.
Nilikua nawapenda Sana Chadema na ulikua huniambii kitu hasa nikiomwangalia mdee anavyotema cheche ,nikienda kwa nassari alivyokua anatema cheche ,kumbe wamejaa njaa tupu wakatusalit Wana chadema yaan tokea hapo nilichoma na kadi yao kwasasa nipo huru Sana sitaki Mambo ya kushabikia vyama vya Tanzania
 
Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia.

Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi.

Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao.

Ccm ya sasa imepasuka maana kuna mpasuko mkubwa sana.

Je, sasa ndio wakati muafaka wa sisi wapinzani kuaminiwa na wananchi na kupaa kisiasa?
Tatizo la wapinzani wameendelea kumuongelea mwendazake instead wanatafute namna ya kupambana na Samia itafika Muda 2025 wataendelea kumu attack magufuli ambaye hayupo duniani . Wangeangalia namna ya kudeal na rais aliyepo madarakani . Angekuepo mtikila kwa ishu za muungano ndio angetusua sahizi Kwa kuangalia madhaifu ya muungano ambapo Marais wote ni wazanzibar . Mtu wa bara Hana haki na Znz. Hivi ndio vitu vingemmaliza mama 2025
 
Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia.

Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi.

Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao.

Ccm ya sasa imepasuka maana kuna mpasuko mkubwa sana.

Je, sasa ndio wakati muafaka wa sisi wapinzani kuaminiwa na wananchi na kupaa kisiasa?
Kuna waccm wamefurahi kuonavitendo viovu vya utekaji, mauaji, kudukuliwa na kesi hewa, nk. vimekoma
 
Tatizo ni kwamba hakuna wapinzani. Kama kwa jina wewe ni kamanda wa chadema, basi ujue chadema imeshajifia kibudu long time.

Haya ndio matamanio yako, na ili kuhadaa wananchi kuwa cdm imekufa, vyombo vya dola ndio vinaingia kupambana na cdm huku ccm ikiwa mgongoni kwenye mbeleko.
 
Ni ujinga wa kiwango cha lami kwenda kuungana na Mbatia. Kila chama cha upinzani kipambane kivyake, adui ni ccm. Kuungana ni kutafuta migogoro isiyo na tija na mifano ipo wazi.
atia alipotoa wazo wapinzani waungane wa kwanza kumpinga walikuwa wapinzani. Hatuna wapinzani wa maana
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom