Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Tunaona kila kitu kinavyoenda na kwa kweli sio mbaya kabisa kwani Mbowe akifungwa itakuwa ni chachu Zaidi ya mapambano kwani very soon we will see the right light! Leo Shahidi wa michongo Afande...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka. Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo. Kwa ufupi naona kama alikuwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Niwe muwazi hadi sasa sijaona kama polepole Anapingana na mama Samia, nilichoona ni polepole anapinga na wale anaoamini ni adui zake ndani ya chama. Pia kwangu Mimi hili halina afya, ndani ya...
1 Reactions
10 Replies
943 Views
Wadau Nawaomba USHAURI Wenu Je Niende CCM VIROBOTO au CCM ASILIA?
0 Reactions
10 Replies
697 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo Amesema mambo ya hovyo...
17 Reactions
126 Replies
9K Views
Mbunge wa Kawe askofu Gwajima amesema endapo utampa lifti shetani na wewe mwenyewe ukazubaa kidogo tu basi utakuta yeye ndio anaendesha gari na wewe umewekwa pembeni Askofu Gwajima amewataka...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Chama Cha ANC kili-document wale wote waliohusika kwenye kesi ya mchongo ya Mandela, kuanzia mashaidi, mawakili Hadi majaji Wazo la kutunza kumbukumbu za waliohusika kusuka kesi hii lazima...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Wasalam, Kuna msemo maarufu usemao, " asiejua aendako hawezi potea njia". Msemo huu sasa unasadifu vema siasa za nchi yetu Tanzania; kuna kizazi kilichozaliwa hasa baada na wakati vyama vingi...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo nawaletea stori fupi kwa njia ya video fupifupi jinsi ambavyo Rais wa mchongo huwa anapatikana. Rais wa mchongo ni Rais ambae amechongwa au kulazimishwa kuwa Rais na mamlaka ambazo zimepewa...
12 Reactions
43 Replies
4K Views
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano
0 Reactions
42 Replies
2K Views
Moja ya vitu ambavyo watu wengi wanapuuzia ni hili suala la mikopo kwa nchi yetu. Lakini hawajui kuwa mikopo hii ndio inayofanya miradi ya Maendeleo. Watu wanafurahia miradi Ila hawajui pesa...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwa sasa Freeman Mbowe hata akifungwa hakuna impact yoyote kwa chama na Taifa wala wananchi hatutashtuka. Chadema ondoeni mawakili wanachama wasihudhurie kesi. Mbowe ajitetee mwenyewe. Chama kipo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Nasema hivo baada ya majuzi hapa kuona Serikali imeeanza ujenzi wa DODOMA TECHNICAL COLLEGE wakati Mwanza kuna tawi la chuo cha DIT ambalo linahitaji kupanuliwa na kuwa chuo kamili MWANZA...
19 Reactions
140 Replies
11K Views
  • Poll Poll
Kwa ambao hatukubahatika kuuona uongozi wa Mwalimu Nyerere tukiwa na uelewa na ufahamu timamu tunajivunia kupata fursa ya kuuona, kuushuhudia na kuuelewa utawala wa Hayati Magufuli ambao kulingana...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Naomba kwa mwenye usahihi wa tuhuma zinazoelekezwa kwa shahidi Na. 8 atusaidie kuziweka hapa for future reference lakini pia kusaidia familia yake kujua kijana wao huko kazina anatumikia umma au...
24 Reactions
44 Replies
4K Views
Ninawashangaa sana watu mnaotokwa mapovu kumtetea huyu Sabaya ni kwa vile hamumjui tu. Endeleeni kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi ili aendelee kula pesa za watu. Kuna mambo mengine ya hovyo...
17 Reactions
47 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa katiba yetu hii yenye mapungufu mengi, wasimamizi wakuu wa sheiia ni Polisi, na chombo cha kutafsiri sheria hizo ni Mahakama. Sheria ndiyo inayoonesha haki yako na isiyo yako. Kwa...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wanajamvi hili juzi nilimsikia mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akisema Kesi ya Mwenyekiti Wa Chadema ndugu Freeman Mbowe Haina maslahi kwa taifa. Mshsngao wangu ni kwamba je kesi zetu sisi raia...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom