Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,567
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.

Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?

Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?

Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
 
Huyu kijana atauwa na utawala huu kwani anapowaweka mafisadi na wahujumu wa maendeleo wazi inawauma ndiyo maana Bulembo kaja wazi kweupe na kutamka jina la POLEPOLE na hata Polepole akiuwa na yote yaliyoanza kummkuta Bulembo anahusika ila timu Samia wamemtuma Bulembo

Polepole anawaamsha wengi hasa ucheleweshaji wa miradi aliyoianzisha brother JPM zaid zaidi wa umeme kwa kisingizio cha CRANE for fucks sake what a crane?? Ona Samia kawatoa Chamriho na Kalemani bila kutaja mapungufu yao kimya kimya why walikuwa ni vikwanza wa dhamira yake ya ucheleweshaji wa miradi ambayo wawili hao walikuwa wanasimamia 24/7

Watanzania jueni kwa Samia yametimia ufisadi unarudi kwa kasi

SGR treini za Dar Moro ilikuwa zianze majaribio November iliyopita leo wamesema labda mwakani

CCM badilisheni katiba tumpate atakayekuwa aghalau nusu ya brother JPM kama ni haja ya rais wa kike wapo wengi siyo lazima Samia mnaona wenyewe

Huko Tanesco tayari kina Makamba washaleta kampuni ya kutoka India kwa malipo ya dollar 30m per year kwa kazi gani only January knows na huko TRC tunasubiri kauli za wabia,,, unatafutaje wabia wakati umeshajenga?? it doesnt make sense
 
Huyu kijana atauwa na utawala huu kwani anapowaweka mafisadi na wahujumu wa maendeleo wazi inawauma ndiyo maana Bulembo kaja wazi kweupe na kutamka jina la POLEPOLE na hata Polepole akiuwa na yote yaliyoanza kummkuta Bulembo anahusika ila timu Samia wamemtum...
Aliyechelewesha hayo mamiradi yote amezikwa Chato jinga wewe, SGR ilikuwa izinduliwe 2020, Huo mradi wa maji hadi anakufa ulikuwa nyuma ya muda zaidi ya siku 300!! Mlizoea kuishi kwa Propaganda za kishamba, now nyeupe mtaambiwa ni nyeupe, na mtaishia kupiga makelele mitandaoni humu ila cha kufanya hamna
 
Back
Top Bottom