Jaji Tiganga acharuka, amtaka shahidi wa Serikali afande Jumanne kuleta uthibitisho wa dharura aliyopata kesho Mahakamani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Jaji Tiganga amekubaliana na wakili msomi Kibatala kwamba sababu alizotoa Wakili wa Serikali kuwa shahidi Jumanne ameshindwa kuja mahakamani kutokana na kuwa na dharura ni nyepesi sana.

Jaji Tiganga alikuwa mkali na kumtaka shahidi huyo afande Jumanne kuleta mahakamani uthibitisho wa dharura aliyoipata hapo kesho.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama
 
Jaji Tiganga amekybakiana na wakili msomi Kibatala kwamba sababu alizotoa wakili wa serikali kuwa shahidi Jumanne ameshindwa kuja mahakamani kutokana na kuwa na dharura ni nyepesi sana.

Jaji Tiganga alikuwa mkali na kumtaka shahidi huyo afande Jumanne kuleta mahakamani uthibitisho wa dharura aliyoipata hapo kesho.

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama
Jaji wa Mchongo...

Jina Tiganga litakuja kuwa msamiati kumaanisha mtu wa hovyo hovyo sawa tu na Kihiyo
 
Jaji Tiganga amekubaliana na wakili msomi Kibatala kwamba sababu alizotoa Wakili wa Serikali kuwa shahidi Jumanne ameshindwa kuja mahakamani kutokana na kuwa na dharura ni nyepesi sana.

Jaji Tiganga alikuwa mkali na kumtaka shahidi huyo afande Jumanne kuleta mahakamani uthibitisho wa dharura aliyoipata hapo kesho.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama
Hamna kitu hapa. Hana ubavu wa kucharuka. Anajua thika kuwa kesho ataletewa cheti cha mtu kulazwa hospitali.

Amandla...
 
Jaji Tiganga amekubaliana na wakili msomi Kibatala kwamba sababu alizotoa Wakili wa Serikali kuwa shahidi Jumanne ameshindwa kuja mahakamani kutokana na kuwa na dharura ni nyepesi sana.

Jaji Tiganga alikuwa mkali na kumtaka shahidi huyo afande Jumanne kuleta mahakamani uthibitisho wa dharura aliyoipata hapo kesho.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama
Shyster, takataka so called judge
 
Back
Top Bottom