Ipo wapi demokrasia ndani ya CCM

Ipo wapi demokrasia ndani ya CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,374
Reaction score
98,551
Huwa tunaamini kuwa kuishi kwingi ni kuona mengi.

Kwa umri wa ccm masarakani tulutegemea kuwa wavumilivu kwenye mambo ya migogoro.

Leo hii Polepole amejitokeza kuikosoa ccm kwa madhambi yao lkn ameshukiwa kama mwewe na kifaranga cha kuku.

Iwapi demokrasia ndani ya ccm? Mwana ccm akichukizwa na yanayofanyika ndani ya ccm basi tayari ni adui wa ccm.

Polepole ajiandae kukutana na rungu kama linavyo onekana hapo chini.

20211215_110418.jpg
 
Vyama vyote ni sawa tuu, hata leo hii akijitokeza mwana cdm ama mwana nccr akaanza kuwakosoa viongozi wa juu lazima wata-take measures.
 
Kwa sababu yanayokosolewa ni madhambi na watu wanachukia wanapovuliwa ngozi ya kondoo kabla hawajawatafuna wananchi.
Lakini kama wote wangekuwa viongozi wema, wangekosoana kwenye mipango ya maendeleo kama hoja za mijadala ya bungeni vile.
 
Polepole ana haki ya kuikosoa CCM kama inafanya mambo ambayo yanakwenda kinyume na priorities za awamu ya tano, sababa hii bado ni muendelezo wa awamu ya tano na si sita kama tunavyoaminishwa tulio wengi.

Tuliipiigia kura awamu ya tano, hatujawahi kupiga kura tena kwa awamu mpya, kwa hiyo hii awamu ifanye yale yale ya awamu ya tano - by Polepole. ada mtiifu wa CCM.
 
Iwapi demokrasia ndani ya upinzani? Chacha Wangwe alitaka kuwepo demokrasia ya kweli ndani ya chama kwa kujaribu kuomba kifungu cha ukomo wa madaraka kirudishwe ndan ya katiba, kilichompata kila mtu anajua, mzee wa watu katangulizwa udongoni bila kupenda au kutarajia. Zito Kabwe alijaribu akakoswa koswa kupewa sumu, baada ya hapo akaundiwa nzengwe na kufukuzwa kama mbwa. Sumaye yeye alipojaribu kugombea uenyekiti aliheshimiwa akapewa tu onyo na tahadhari kuwa sumu haionjwi kwa ulimi, Sumaye kama mtu mzima akajiongeza na kukimbia chama kabla hayajamkuta ya Chacha Wangwe, Zito nk. Upande wa CUF Lipumba ana zaidi ya miaka 20, Cheyo, Mrema, Mbatia nk wote vikongwe chamani. So demokrasia ya kweli iko wapi? So bora Polepole aliekutana na rungu kuliko Chacha Wangwe aliekutana na kifo. RIP Chacha Wangwe.. chama na dunia vitakukumbuka kwa kujaribu kupigania demokrasia ya kweli ndan ya chama chako japo chawa na wachumia tumbo wa yule mzee wanajaribu kufuta ukweli wa kilichoendelea bila mafanikio.
 
Iwapi demokrasia ndani ya upinzani? Chacha Wangwe alitaka kuwepo demokrasia ya kweli ndani ya chama kwa kujaribu kuomba kifungu cha ukomo wa madaraka kirudishwe ndan ya katiba, kilichompata kila mtu anajua, mzee wa watu katangulizwa udongoni bila kupenda au kutarajia. Zito Kabwe alijaribu akakoswa koswa kupewa sumu, baada ya hapo akaundiwa nzengwe na kufukuzwa kama mbwa. Sumaye yeye alipojaribu kugombea uenyekiti aliheshimiwa akapewa tu onyo na tahadhari kuwa sumu haionjwi kwa ulimi, Sumaye kama mtu mzima akajiongeza na kukimbia chama kabla hayajamkuta ya Chacha Wangwe, Zito nk. Upande wa CUF Lipumba ana zaidi ya miaka 20, Cheyo, Mrema, Mbatia nk wote vikongwe chamani. So demokrasia ya kweli iko wapi?
Mbona hujamzungumzia Kolimba
 
Huwa tunaamini kuwa kuishi kwingi ni kuona mengi.

Kwa umri wa ccm masarakani tulutegemea kuwa wavumilivu kwenye mambo ya migogoro.

Leo hii Polepole amejitokeza kuikosoa ccm kwa madhambi yao lkn ameshukiwa kama mwewe na kifaranga cha kuku.

Iwapi demokrasia ndani ya ccm? Mwana ccm akichukizwa na yanayofanyika ndani ya ccm basi tayari ni adui wa ccm.

Polepole ajiandae kukutana na rungu kama linavyo onekana hapo chini.

View attachment 2044863
Tuoneshe ya CHADEMA, chama ambacho kinajinasibu cha Demokrasia.
 
Iwapi demokrasia ndani ya upinzani? Chacha Wangwe alitaka kuwepo demokrasia ya kweli ndani ya chama kwa kujaribu kuomba kifungu cha ukomo wa madaraka kirudishwe ndan ya katiba, kilichompata kila mtu anajua, mzee wa watu katangulizwa udongoni bila kupenda au kutarajia. Zito Kabwe alijaribu akakoswa koswa kupewa sumu, baada ya hapo akaundiwa nzengwe na kufukuzwa kama mbwa. Sumaye yeye alipojaribu kugombea uenyekiti aliheshimiwa akapewa tu onyo na tahadhari kuwa sumu haionjwi kwa ulimi, Sumaye kama mtu mzima akajiongeza na kukimbia chama kabla hayajamkuta ya Chacha Wangwe, Zito nk. Upande wa CUF Lipumba ana zaidi ya miaka 20, Cheyo, Mrema, Mbatia nk wote vikongwe chamani. So demokrasia ya kweli iko wapi? So bora Polepole aliekutana na rungu kuliko Chacha Wangwe aliekutana na kifo. RIP Chacha Wangwe.. chama na dunia vitakukumbuka kwa kujaribu kupigania demokrasia ya kweli ndan ya chama chako japo chawa na wachumia tumbo wa yule mzee wanajaribu kufuta ukweli wa kilichoendelea bila mafanikio.
R.I.P Filikunjombe
 
Tuliza mshono dogo wa lumumba .

Hilo rungu naona mmedhamilia kummaliza sukuma gang mwenzenu.

Lkn msimmalize kabla hajamaliza kazi yake ya kuwaumbua na kuwaacha watupu wanafiki wakubwa nyie.
20211215_110418.jpg
 
Polepole ana haki ya kuikosoa CCM kama inafanya mambo ambayo yanakwenda kinyume na priorities za awamu ya tano, sababa hii bado ni muendelezo wa awamu ya tano na si sita kama tunavyoaminishwa tulio wengi.

Tuliipiigia kura awamu ya tano, hatujawahi kupiga kura tena kwa awamu mpya, kwa hiyo hii awamu ifanye yale yale ya awamu ya tano - by Polepole. ada mtiifu wa CCM.
Pelepole ameishika panapo hitajika ccm .

Kina Bulembo wanatumia vitisho vya kitoto kumtisha lkn bado kajamaa kamekomaa.
 
Vyama vyote ni sawa tuu, hata leo hii akijitokeza mwana cdm ama mwana nccr akaanza kuwakosoa viongozi wa juu lazima wata-take measures.
Hapa tunazongelea chama kikongwe au chakavu kilicho kaa madarakani kwa 60 yrs.

Wacha kuhamisha magaori wacha Polepole awavue nguo
 
Tuoneshe ya CHADEMA, chama ambacho kinajinasibu cha Demokrasia.
Waliotaka kuonesha jinsi Chadema inaendesha demokrasia ya hovyo ni Chacha Wangwe alieuwawa, Zito Kabwe aliekoswa koswa kupewa sumu na baadae kufukuzwa, na mungine ni Sumaye aliepewa onyo kwamba asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Mleta mada anaufahamu vizur ukweli huu lkn kaamua kuufumbia macho kwa sababu ya njaa zake. Hawa wapo tayari kulamba hata viatu vya mwenyekiti na kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao.

images (38).jpeg
 
Tuliza mshono dogo wa lumumba .

Hilo rungu naona mmedhamilia kummaliza sukuma gang mwenzenu.

Lkn msimmalize kabla hajamaliza kazi yake ya kuwaumbua na kuwaacha watupu wanafiki wakubwa nyie.View attachment 2044957
Naona umetumwa kuja kumtengenezea mazingira, ili awe mgombea wenu mwaka 2025. Ongeza promo mwamba.
 
Huwa tunaamini kuwa kuishi kwingi ni kuona mengi.

Kwa umri wa ccm masarakani tulutegemea kuwa wavumilivu kwenye mambo ya migogoro.

Leo hii Polepole amejitokeza kuikosoa ccm kwa madhambi yao lkn ameshukiwa kama mwewe na kifaranga cha kuku.

Iwapi demokrasia ndani ya ccm? Mwana ccm akichukizwa na yanayofanyika ndani ya ccm basi tayari ni adui wa ccm.

Polepole ajiandae kukutana na rungu kama linavyo onekana hapo chini.

View attachment 2044863
Hoja hupigwa kwa rungu ndani ya ccm
 
Waliotaka kuonesha jinsi Chadema inaendesha demokrasia ya hovyo ni Chacha Wangwe alieuwawa, Zito Kabwe aliekoswa koswa kupewa sumu na baadae kufukuzwa, na mungine ni Sumaye aliepewa onyo kwamba asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Mleta mada anaufahamu vizur ukweli huu lkn kaamua kuufumbia macho kwa sababu ya njaa zake. Hawa wapo tayari kulamba hata viatu vya mwenyekiti na kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao.

View attachment 2044963
Huyu si makonda na Sabaya wanalamva viatu vya jiwe? au ni mtungi?
 
Back
Top Bottom