John Mnyika popote ulipoitisha press conference haraka sana

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Kutokana na hukumu ya kesi ndogo iliyotolewa leo dhidi ya kesi ya kina Mbowe hawa jamaa inaonesha wamejipanga kufanya jambo ambalo litashangaza dunia nzima.

Katibu mkuu Mnyika itisha press leo leo ili kutoa muongozo kwa wapenda haki wote nchini.

Katika press yako njoo na approach nzuri zitakazo kiokoa chama na Mwenyekiti wake kwa ujumla.

Zile approach za:-
i/ Kuvaa T-shirt zilizoandikwa MBOWE SIO GAIDI.

ii/ Kuandika kwenye kuta MBOWE SIO GAIDI.

iii/ Kwenda na uwakilishi wa mabalozi mahakamani.

iv/ Kuandika mabango mtandaoni kuwa MBOWE SIO GAIDI.

v/ Kulia lia kwenye SPACE na CLUBHOUSE kuwa MBOWE SIO GAIDI.

Approach zote hizo zimefeli na zitafeli kukiokoa chama na Mwenyekiti wake.

Mnyika nikuambie tu kuwa "the situation is very radical so it needs radical solutions".

Mungu okoa taifa la Tanzania na watu wake.
 
Me nawahakikishia wakimfunga Mbowe kinanuka Tena kitanuka kweli mpaka wamuachie .

Sioni Polisi wa kuzuia hili wacha wajichanganye kinuke
Mkuu kitanuka kwenye computer yako au simu? Please wengine wanatumia perfum kwenye computer zao na simu ili hata wakinukisha huko zisinuke. Kweli kabisa hakuna polisi wa kuzuia computer na simu yako isinuke. Ni wewe tu unaamua. Hata leo watumiaji wanaweza kukinukisha kwenye computer zao wakiamua. Tusibiri spaces au ile club yetu pendwa pengine kitanuka huko.
 
The situation is very terrible,Cha msingi si kuinua mikono Tena na kuomba dua Bali Ni kubadilisha staili,staili ambayo Kila mtu hataweza kuisahau katika maisha yake.mnyika ongoza jahazi,Machinga wanasubiri betri ichomolewe .
Fact mkuu.
 
Back
Top Bottom