Nani yupo nyuma ya Polepole?

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,603
29,747
Pamoja na kwamba ameshakabidhi ofisi ya Itikadi na Uenezi, lakini bado ndugu Humphrey Polepole ameonekana akifanya siasa za wazi wazi kwa kivuli cha ofisi hiyo yake ya zamani.

Hapa juzi kupitia akaunti yake ta Twitter alikuwa Babati katika ziara ya kutembelea mashina.

Swali ninalojiuliza japa, je ofisi imemuelemea Shaka mpaka aombe msaada kwa Polepole au na mimi kama mwanachama wa kawaida naruhusiwa kufanya ziara kama.afanyavyo Polepole,

Nani yupo nyuma yake?
Je mtafaruku wake na akina Bulembo ni kututoa kwenye reli tusijadili masuala nyeti ya kitaifa?

Nina mashaka
Screenshot_20211214-164212_Twitter.jpg

Kwa maoni yangu nahisi Slow slow katengenezwa na 'Wahuni' bila ya mwenyewe kujijua ili wao 'Wahuni' wajisogeze zaid kwa 'Bi Mkubwa'

Sasa hivi ngoma imegeuzwa geuzwa na walio geuzwa wamekubali bila ya kujijua kuonekana kama wanampinga 'Bi Mkubwa'

Halafu Wahuni wanajitokeza kama Watetezi wa Mama wakitaka '…tumuache Mama achape kazi…kuna kikundi kimejipanga kumkwamisha Mama…hatutakubali wamkwamishe…'

Wahuni wana kawaida ya kuwa na Mamluki kwny Makundi pinzani ili waweze kutengeneza hoja

Wahuni walikuwepo Chama Kikuu cha Upinzani wakatumia nguvu ya akili kuwapangia nani ni fisadi na nani si fisadi na wakatumika 8 years bila ya kujijua

Wakatumika tena kung'oa Mawaziri ambao Faza wa Wahuni alikuwa kawachoka

Wahuni walitumia tena akili kumchafua Zero kwa Mr Clean ahadi akaonekana 'hana maana' yeyote

Kwny heka heka za 2005 Wahuni walihakikisha Campain Managers wa kambi hasimu wote ni 'Watu wao'

Wahuni walimtengeneza 'niguse ninuke' hadi Mwamba akajikuta kamteua Mke wa 'Mao tze tung' kuwa Mbunge ili kupooza hasira kwa kuwa wote Mke wa Mao na Niguse ninuke wanatoka Mkoa mmoja

Naamini kwny 'Push gang' pia washachomekea watu wao kutengeneza agenda ama za kumtisha Bi Mkubwa au kujisogez 'zaid' ili kumsaidia Viroboto wasimbughudhi

Wenu Muhuni Mstaafu

Efukepunye Pohamba
 
Hii movie naifuatilia vyema kwa furaha waache watoane macho.
 
Pamoja na kwamba ameshakabidhi ofisi ya Itikadi na Uenezi, lakini bado ndugu Humphrey Polepole ameonekana akifanya siasa za wazi wazi kwa kivuli cha ofisi hiyo yake ya zamani.

Hapa juzi kupitia akaunti yake ta Twitter alikuwa Babati katika ziara ya kutembelea mashina.

Swali ninalojiuliza japa, je ofisi imemuelemea Shaka mpaka aombe msaada kwa Polepole au na mimi kama mwanachama wa kawaida naruhusiwa kufanya ziara kama.afanyavyo Polepole,

Nani yupo nyuma yake?
Je mtafaruku wake na akina Bulembo ni kututoa kwenye reli tusijadili masuala nyeti ya kitaifa?

Nina mashakaView attachment 2043944
Mimi hapa
 
CCM Yuko nyuma ya mdogomdogo
 
Kwa maoni yangu nahisi Slow slow katengenezwa na 'Wahuni' bila ya mwenyewe kujijua ili wao 'Wahuni' wajisogeze zaid kwa 'Bi Mkubwa'

Sasa hivi ngoma imegeuzwa geuzwa na walio geuzwa wamekubali bila ya kujijua kuonekana kama wanampinga 'Bi Mkubwa'

Halafu Wahuni wanajitokeza kama Watetezi wa Mama wakitaka '…tumuache Mama achape kazi…kuna kikundi kimejipanga kumkwamisha Mama…hatutakubali wamkwamishe…'

Wahuni wana kawaida ya kuwa na Mamluki kwny Makundi pinzani ili waweze kutengeneza hoja

Wahuni walikuwepo Chama Kikuu cha Upinzani wakatumia nguvu ya akili kuwapangia nani ni fisadi na nani si fisadi na wakatumika 8 years bila ya kujijua

Wakatumika tena kung'oa Mawaziri ambao Faza wa Wahuni alikuwa kawachoka

Wahuni walitumia tena akili kumchafua Zero kwa Mr Clean ahadi akaonekana 'hana maana' yeyote

Kwny heka heka za 2005 Wahuni walihakikisha Campain Managers wa kambi hasimu wote ni 'Watu wao'

Wahuni walimtengeneza 'niguse ninuke' hadi Mwamba akajikuta kamteua Mke wa 'Mao tze tung' kuwa Mbunge ili kupooza hasira kwa kuwa wote Mke wa Mao na Niguse ninuke wanatoka Mkoa mmoja

Naamini kwny 'Push gang' pia washachomekea watu wao kutengeneza agenda ama za kumtisha Bi Mkubwa au kujisogez 'zaid' ili kumsaidia Viroboto wasimbughudhi

Wenu Muhuni Mstaafu

Efukepunye Pohamba
 
Kwa maoni yangu nahisi Slow slow katengenezwa na 'Wahuni' bila ya mwenyewe kujijua ili wao 'Wahuni' wajisogeze zaid kwa 'Bi Mkubwa'

Sasa hivi ngoma imegeuzwa geuzwa na walio geuzwa wamekubali bila ya kujijua kuonekana kama wanampinga 'Bi Mkubwa'

Halafu Wahuni wanajitokeza kama Watetezi wa Mama wakitaka '…tumuache Mama achape kazi…kuna kikundi kimejipanga kumkwamisha Mama…hatutakubali wamkwamishe…'

Wahuni wana kawaida ya kuwa na Mamluki kwny Makundi pinzani ili waweze kutengeneza hoja

Wahuni walikuwepo Chama Kikuu cha Upinzani wakatumia nguvu ya akili kuwapangia nani ni fisadi na nani si fisadi na wakatumika 8 years bila ya kujijua

Wakatumika tena kung'oa Mawaziri ambao Faza wa Wahuni alikuwa kawachoka

Wahuni walitumia tena akili kumchafua Zero kwa Mr Clean ahadi akaonekana 'hana maana' yeyote

Kwny heka heka za 2005 Wahuni walihakikisha Campain Managers wa kambi hasimu wote ni 'Watu wao'

Wahuni walimtengeneza 'niguse ninuke' hadi Mwamba akajikuta kamteua Mke wa 'Mao tze tung' kuwa Mbunge ili kupooza hasira kwa kuwa wote Mke wa Mao na Niguse ninuke wanatoka Mkoa mmoja

Naamini kwny 'Push gang' pia washachomekea watu wao kutengeneza agenda ama za kumtisha Bi Mkubwa au kujisogez 'zaid' ili kumsaidia Viroboto wasimbughudhi

Wenu Muhuni Mstaafu

Efukepunye Pohamba
Mkuu umeongea lugha nzuri ya picha.

Mtego wa panya huwanasa waliomo na wasiokuwamo
 
Back
Top Bottom