Katiba hii ni mbovu inahitaji kiongozi mwenye busara, hekima na hofu ya Mungu

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Hakika sasa ndio nimeamini Maneno ya HAYATI Baba Wa TAIFA Mwl.Nyerere kuwa KATIBA ya TANZANIA ni Mbovu na Ikimkuta RAIS DIKTETA Ataumiza Wananchi kwani Inampa NGUVU na MAMLAKA ya KUFANYA ATAKACHO.

MBOWE amebambikiziwa KESI ya UGAIDI kwa sababu tu Amesimamia UPATIKANAJI wa KATIBA MPYA jambo ambalo WATAWALA Hawataki kwa Sababu KATIBA ILIYOPO inawapa UFALME.

WATAWALA hawa hawa CHAMA cha CCM Kilianzisha Mchakato wa KATIBA MPYA na kutumia MABILIONI ya KODI za MASIKINI lakini Haukukamilika lakini leo badala Ya Kuukamilisha Wanawafungulia KESI ya UGAIDI WANAOTAKA UKAMILIKE hakika ni UONEVU MKUBWA na haya ndio MADHARA ya KATIBA ILIYOPO Ambayo Hayati BABA wa TAIFA aliisemea.

Ni Vema WATAWALA Wakatumia BUSARA ,HEKIMA na HOFU ya MUNGU Kuongoza NCHI hii kwani MUNGU atahoji SIKU ya MWISHO.
 
Back
Top Bottom