Mhe. Rais umeeleza madarasa yajengwe Ila waliokwenda kujenga wamekosea strategy, uwezi kujenga madarasa mawili kwenye shule zenye madarasa ya kutosha mjini ukaenda kujenga madarasa mawili kijijini...
Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno.
Prof Mark Mwandosya...
Wadau wiki hii nimesoma mabandiko mengi ya ndugu zangu wa ufipa .,naona hasira zao wameamua kuzimalizia kwa ndugu zitto.,nilianza kumsoma na kumsikiliza tundu lissu alivyokurupuka Kama kawaida...
Wakati mmoja, Rais Samia alielezea kusikitishwa kwake kutokana na makosa yaliyofanywa na awamu za nyuma, lakini lawama kurundikwa awamu yake, awamu ya 6. Lawama hizo aliziita ni jumba bovu. Jumba...
Chanzo ya Pfizer-BionTech na ile ya Moderna zimetuia teknolojia ya mRNA (kutumia RNA ya kirusi cha corona kutengeneza chanjo)
Chanjo ya Janssen (J&J) imetumia teknolojia ya kupandikiza RNA ya...
Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama.
Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya...
Taarifa za siri za CIA za miaka ya 1953 zinaonyesha kwamba shirika hilo liliamini kwamba baada ya Wakoloni Waingereza kuondoka Tanganyika, mtu aliyepaswa kukabidhiwa nchi alikuwa ni kiongozi wa...
Afya ya Rais ni muhimu.
Kazi ya Urais ni ngumu,
kiongozi wa nchi halali isipokuwa masaa mchahe sana,
wakati mwingine analala akiwa safarini,
wakati wote kiongozi anapokea taarifa mpya kutoka...
Kutokana na matumizi mabaya ya vyombo vya ulinzi na usalama na chama cha mapinduzi.. kuna haja ya kupeleka mswada Bungeni ili Kamati za ulinzi na usalama ziundwe na vyombo vya ulinzi na usalama...
Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia.
Mafuta ya Kula Bei imeongezeka...
Siku polepole anajiunga CCM hakuwa hata na shati la kijani wala hakujua atalipata wapi
Nape akaenda stoo akachukua shati lake la zamani kabla hajaota kitambi akampa.
Bashiru yeye uanachama wake...
Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada
The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.
Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics)...
Nilishazungumza hapa wakati ule, Ogopa sana kitu kinaitwa muda,
Binadamu Tunapita ila Muda utabaki milele ukisogea, siku hazisimami, saa hazigandi, sekunde zinatembea na wakati nao unajongea...
Magufuli alipokataa ujinga huu, wa nchi za kiAfrika kucheza siasa za wazungu za corona, nadhani hawakumwelewa wenzake kwenye corridors of power.
Ni hivi: mzungu hutumia kila fursa yoyote, liwe...
Kumekuwa na tuhuma nyingi sana za jeshi la polisi kuua kutesa na kupiga watuhumiwa. Lakini hatujawahi kusikia Igp au waziri Simbachawene akichukua hatua za kuwafuta kazi hawa askari wanaokiuka...
Tumeona jinsi ambavyo kumekuwa na Utitiri wa Taasisi binafsi kujitafutia pesa kupitia Taasisi za Serikali. Sana sana TIE na TAMISEMI wakihusishwa.
Na tunapoelekea kipindi hiki cha Sikukuu na...
Hii nafasi sijui Ina kitu gani ila Ndugu Samia Samia angelijua vizur angetafuta mtu kutoka bar akampa nafasi hii.
Kwa Nini? Angejua jambo moja yakuwa hata uraisi kwake ilikuwa zawadi kutoka kwa...
Kwa wale watumishi wa umma ambao taasisi zao huwalipa posho kila mwezi(mfano JWTZ, Polisi, n.k), wakati umefika waruhusiwe kukopa kupitia posho hizo kwa kukatwa sehemu ya posho zao kulipa mikopo...
Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake,
Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.