Yeriko Nyerere usihamishie hasira zako kwa Zitto Kabwe, muacheni Mwami atufundishe siasa

Mtondoli

Member
Nov 9, 2021
70
174
Wadau wiki hii nimesoma mabandiko mengi ya ndugu zangu wa ufipa .,naona hasira zao wameamua kuzimalizia kwa ndugu zitto.,nilianza kumsoma na kumsikiliza tundu lissu alivyokurupuka Kama kawaida yake. Nakumparamia mwana mwema zitto kabwe kwamba eti hawakumtuma.mtu akifariki wanaoenda kumzika hawatumwi na aliyefiwa Bali huenda kujitolea kumstili mwendazake. kila mdau wa ufipa au mwanachadema alionekana kuhamishia hasira zake kwa ndugu zito ,nimemsoma pia ndugu yeriko nyerere namuona anapuyanga tu kwa kujaribu sio tu kumvunjia heshima zitto Bali kutaka kuonyesha zitto si kitu.nimwambie tu ndugu yeriko na genge lenu kwamba unafiki hauwezi kuushinda ukweli,na kwa maneno yako zitto kabwe anazidi kuonyesha kuwa ni profesa wa siasa hapa nchini,nimwalimu wa siasa mnapaswa kwenda kujifunza kwake.mmehamishia Vita kwa zitto kwa sababu za kijinga tu.,ukifiwa tambua watakaohudhuria msibani si wewe peke yako. ,na atakae chimba kaburi ni jirani yako .huwezi kuzika peke yako majirani watakusaidia.zitto kawakosea Nini kwa Nini chadema hambadilishi aina siasa Kila mwaka ni zile zile tu,yeriko nyerere nenda darasani ukajifunze siasa na ujue zitto sio level yako hawezi hata kukujibu
 
Tangu TL aliposhambuliwa na risasi zitto amekuwa akijepenekeza kwa cdm mara ameenda ukonga mara ubeligiji kumpa pole hawajui hao watu walivyowanafiki wao wanaangalia uchaga tu .acha avune alochopanda na aache kujipendekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni chadema ndiyo wamemuweka ndani?
vyombo vya serekali vya kupambana na wahalifu ndivyo vilivyombaini na makosa,sisi watanzania wengi tunadhani mbowe ni malaika yaani hawezi kutenda makosa na makosa ni ya watu wengine pekee tunaomba serekali imsamehe kwa upendo wa mama yetu
 
Wadau wiki hii nimesoma mabandiko mengi ya ndugu zangu wa ufipa .,naona hasira zao wameamua kuzimalizia kwa ndugu zitto.,nilianza kumsoma na kumsikiliza tundu lissu alivyokurupuka Kama kawaida yake. Nakumparamia mwana mwema zitto kabwe kwamba eti hawakumtuma.mtu akifariki wanaoenda kumzika hawatumwi na aliyefiwa Bali huenda kujitolea kumstili mwendazake. kila mdau wa ufipa au mwanachadema alionekana kuhamishia hasira zake kwa ndugu zito ,nimemsoma pia ndugu yeriko nyerere namuona anapuyanga tu kwa kujaribu sio tu kumvunjia heshima zitto Bali kutaka kuonyesha zitto si kitu.nimwambie tu ndugu yeriko na genge lenu kwamba unafiki hauwezi kuushinda ukweli,na kwa maneno yako zitto kabwe anazidi kuonyesha kuwa ni profesa wa siasa hapa nchini,nimwalimu wa siasa mnapaswa kwenda kujifunza kwake.mmehamishia Vita kwa zitto kwa sababu za kijinga tu.,ukifiwa tambua watakaohudhuria msibani si wewe peke yako. ,na atakae chimba kaburi ni jirani yako .huwezi kuzika peke yako majirani watakusaidia.zitto kawakosea Nini kwa Nini chadema hambadilishi aina siasa Kila mwaka ni zile zile tu,yeriko nyerere nenda darasani ukajifunze siasa na ujue zitto sio level yako hawezi hata kukujibu
Wewe kwasababu umejaza kamasi tu kwenye hilo fuvu lako, huwezi kuelewa logic iliyopo kwenye mashambulizi ya Zitto. Akili ndogo kama yako haiwezi ng'amua kitu. Ukiwa peke yako usijaribu hata kidogo kuvuka barabara.
 
Tatizo la chadema wanajiona wao ndiyo wapinzani peke yao na wakati huohuo ukiangalia aina ya siasa zao za harakati niyingi haziwasaidii kwenda mbele sasa wanamuona zitto kama tishio kwao kwa sababu ya wivu tu walishabaini jamaa ana uwezo mkubwa kuliko wao hivyo wanamponda ili watu wampuuze lkn lazima wajue kusoma alama za nyakati huwezi kusema zitto ni msaliti wakati huna sababu zozote za maana tukakuelewa.
 
vyombo vya serekali vya kupambana na wahalifu ndivyo vilivyombaini na makosa,sisi watanzania wengi tunadhani mbowe ni malaika yaani hawezi kutenda makosa na makosa ni ya watu wengine pekee tunaomba serekali imsamehe kwa upendo wa mama yetu
Ikiwa vyombo vya serikali ndiyo vimemuweka ndani it means ndiyo wenye maamuzi atoke au aendelee kubaki ndani
Sasa unaposema chadema hawataki atoke unamaanisha nini hapo
 
Wadau wiki hii nimesoma mabandiko mengi ya ndugu zangu wa ufipa .,naona hasira zao wameamua kuzimalizia kwa ndugu zitto.,nilianza kumsoma na kumsikiliza tundu lissu alivyokurupuka Kama kawaida yake. Nakumparamia mwana mwema zitto kabwe kwamba eti hawakumtuma.mtu akifariki wanaoenda kumzika hawatumwi na aliyefiwa Bali huenda kujitolea kumstili mwendazake. kila mdau wa ufipa au mwanachadema alionekana kuhamishia hasira zake kwa ndugu zito ,nimemsoma pia ndugu yeriko nyerere namuona anapuyanga tu kwa kujaribu sio tu kumvunjia heshima zitto Bali kutaka kuonyesha zitto si kitu.nimwambie tu ndugu yeriko na genge lenu kwamba unafiki hauwezi kuushinda ukweli,na kwa maneno yako zitto kabwe anazidi kuonyesha kuwa ni profesa wa siasa hapa nchini,nimwalimu wa siasa mnapaswa kwenda kujifunza kwake.mmehamishia Vita kwa zitto kwa sababu za kijinga tu.,ukifiwa tambua watakaohudhuria msibani si wewe peke yako. ,na atakae chimba kaburi ni jirani yako .huwezi kuzika peke yako majirani watakusaidia.zitto kawakosea Nini kwa Nini chadema hambadilishi aina siasa Kila mwaka ni zile zile tu,yeriko nyerere nenda darasani ukajifunze siasa na ujue zitto sio level yako hawezi hata kukujibu
Shule za Kata shida tupu,paragraph inakushinda baada ya muda utasikia Mtondoli kalamba PhD Udom.
 
We mwenyew unapuyanga tu hapa hakuna hoja ni ushuzi mtupu
 
Back
Top Bottom