Mfumuko wa bei kila kitu bei juu, mahindi, mchele na mafuta havishikiki mtaani

chuki

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,715
533
Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia.

Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida vimepanda maradufu, Umeme umepanda licha ya kukatika katika hovyo kila baada ya dakika 10 kisingizio cha 'ukarabati kabambe'.

Kwa ufupi Mama Nchi imemshinda, anapwaya, anachezewa na wasaidizi wake wa chini, amezungukwa na Wahuni wapiga dili watu wa Genge la Kikwete na Kinana.

Mwaka 2025 arudi Zanzibar akalee familia huku bara kura hapati labda ajipange upya.

Makundi mengi hayamsemi vizuri, Wanawake wanamponda, Vijana hawamkubali, Wazee wanashangaa, Machinga wamebutwaa, Wakulima hoi, Makundi ya kipato cha chini Hali ya fedha ngumu na Bei zinapanda kila siku watoa Huduma wengi wanajipangia Bei utadhani Hakuna Mamalaka ya Nchi. Hawa wote wanaona Mama ndie shida na hili gari bovu ni la kwake maana amekuwa laini mno kama ulojo.

Saidia kumwambia hapa Hali ya Maisha Mtaani kwako ikoje labda ataelewa.
 
Mafuta its a world crisis..., lakini sababu wamezoea kujisifia kwa kila kinachotokea hata kama sio wao wamefanya, basi hata lawama wapelekewe hata kama hawajahusika...
 
Hili ni tatizo la Dunia kwa sasa ila ukiona Hali ni ngumu chagua nchi mojawapo Kati ya hizi hapa uhamie huko hakuna mfumuko wa bei mkuu.👇

Screenshot_20211216-062627.png

Screenshot_20211216-062244.png

Screenshot_20211215-081733.png

Screenshot_20211214-063622.png

Screenshot_20211213-065533.png

Screenshot_20211213-065435.png

Screenshot_20211213-065227.png

Screenshot_20211212-223341.png

Screenshot_20211212-223321.png

Screenshot_20211212-222910.png

Screenshot_20211212-222430.png

Screenshot_20211212-222515.png
 
Mafuta its a world crisis..., lakini sababu wamezoea kujisifia kwa kila kinachotokea hata kama sio wao wamefanya, basi hata lawama wapelekewe hata kama hawajahusika...
Mkuu hio world crisis aijumuishi botwana? Maana Botwana wanawezaje kuuza mafuta Bei rahisi kuliko hata south Africa na wanachukuwa mafuta kutoka south africa.nchi zingine za ukanda wetu zinashindwa nini?
 
Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia.

Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida vimepanda maradufu, Umeme umepanda licha ya kukatika katika hovyo kila baada ya dakika 10 kisingizio cha 'ukarabati kabambe'.

Kwa ufupi Mama Nchi imemshinda, anapwaya, anachezewa na wasaidizi wake wa chini, amezungukwa na Wahuni wapiga dili watu wa Genge la Kikwete na Kinana.

Mwaka 2025 arudi Zanzibar akalee familia huku bara kura hapati labda ajipange upya.

Makundi mengi hayamsemi vizuri, Wanawake wanamponda, Vijana hawamkubali, Wazee wanashangaa, Machinga wamebutwaa, Wakulima hoi, Makundi ya kipato cha chini Hali ya fedha ngumu na Bei zinapanda kila siku watoa Huduma wengi wanajipangia Bei utadhani Hakuna Mamalaka ya Nchi. Hawa wote wanaona Mama ndie shida na hili gari bovu ni la kwake maana amekuwa laini mno kama ulojo.

Saidia kumwambia hapa Hali ya Maisha Mtaani kwako ikoje labda ataelewa.
Mfuko wa bei aswa kwa bizaa za chakula nadhan ni economic concept tuifanye hii kama fursa leo wakulima wa bonde la kilombero, wakulima wa kyela na wakulima wa nzega na shinganya kwenye mpunga ndio tegemeo kwa ulishaji w chakula pendwa wali ukiangalia na utaji wa mazao haya utakuta uitaji ni mkubwa zaidi ya uzalishaj na asilimia kubwa ya wakulima wanaolisha ndan ni hawa wakulima wenye kipto cha gunia 5-30 ambao wanakoboa mpunga pindi wanapokua na maitaji yao madogo madogo hivyo sheeda inakua nyingi miez ya mavuno 6 adi wa 8 hivyo na speeda kukoboa inakua kubwa ndio utaona maana bei na nafaka ikiwa ndogo kwa kuwa wazlishaj wanakoboa kwa wingi pia kwenye mahindi taifa kwa ujumoa tunategemea mahind kutoka iringa na mbeya na ruvuma na kidogo kutoka tanga na dodoma nazan tulichukue ili kama fursa wakulima kwabwa wote bizaa zao wanauzia nje tuwape mitaji wakulima wadogo mitaji watatukomboa

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia.

Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida vimepanda maradufu, Umeme umepanda licha ya kukatika katika hovyo kila baada ya dakika 10 kisingizio cha 'ukarabati kabambe'.

Kwa ufupi Mama Nchi imemshinda, anapwaya, anachezewa na wasaidizi wake wa chini, amezungukwa na Wahuni wapiga dili watu wa Genge la Kikwete na Kinana.

Mwaka 2025 arudi Zanzibar akalee familia huku bara kura hapati labda ajipange upya.

Makundi mengi hayamsemi vizuri, Wanawake wanamponda, Vijana hawamkubali, Wazee wanashangaa, Machinga wamebutwaa, Wakulima hoi, Makundi ya kipato cha chini Hali ya fedha ngumu na Bei zinapanda kila siku watoa Huduma wengi wanajipangia Bei utadhani Hakuna Mamalaka ya Nchi. Hawa wote wanaona Mama ndie shida na hili gari bovu ni la kwake maana amekuwa laini mno kama ulojo.

Saidia kumwambia hapa Hali ya Maisha Mtaani kwako ikoje labda ataelewa.
Mambo yanayotokea ni nje ya uwezo wa mama:
  • Kuna ukame unaosababisha uzalishaji wa umeme kusuasua, bei ya vyakula kupanda kwa sababu ya projections za njaa
  • Bei ya mafuta ni jnga la dunia nzima, kila mahali wanalia na bei za mafuta
  • mafuta ya kula upungufu umeanza kuonekana tangu miaka mitano iliyopita, na tatizo lilianza pale tulipopiga marufuku mafuta toka nje kwa kuaminishwa tuna mafuta ya kula ya alizeti ya kutosha ndani ya nchi. Sulala la mafuta ya kula ni sawa sawa kabisa na sakata la sukari
  • Commodities prices- mafuta ya maghari yakishapanda, umemem ukishakuwa wa mashaka- gharama za uzalishhaji na usafirishaji zitapanda na hivyo kumfanya mlaji wa mwisho kulipa zaidi
Tuchambue mambo, kuliko kwenda na mihemko
 
Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia.

Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida vimepanda maradufu, Umeme umepanda licha ya kukatika katika hovyo kila baada ya dakika 10 kisingizio cha 'ukarabati kabambe'.

Kwa ufupi Mama Nchi imemshinda, anapwaya, anachezewa na wasaidizi wake wa chini, amezungukwa na Wahuni wapiga dili watu wa Genge la Kikwete na Kinana.

Mwaka 2025 arudi Zanzibar akalee familia huku bara kura hapati labda ajipange upya.

Makundi mengi hayamsemi vizuri, Wanawake wanamponda, Vijana hawamkubali, Wazee wanashangaa, Machinga wamebutwaa, Wakulima hoi, Makundi ya kipato cha chini Hali ya fedha ngumu na Bei zinapanda kila siku watoa Huduma wengi wanajipangia Bei utadhani Hakuna Mamalaka ya Nchi. Hawa wote wanaona Mama ndie shida na hili gari bovu ni la kwake maana amekuwa laini mno kama ulojo.

Saidia kumwambia hapa Hali ya Maisha Mtaani kwako ikoje labda ataelewa.
Tafuta Hela wewe inflation Iko juu dunia nzima
 
Mafuta ya kula yameshuka bei

Vyakula huu ni msimu wa kupanda obvious nafaka zinapanda bei

Mafuta ya magari ni world wide crisis.
 
Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia.

Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida vimepanda maradufu, Umeme umepanda licha ya kukatika katika hovyo kila baada ya dakika 10 kisingizio cha 'ukarabati kabambe'.

Kwa ufupi Mama Nchi imemshinda, anapwaya, anachezewa na wasaidizi wake wa chini, amezungukwa na Wahuni wapiga dili watu wa Genge la Kikwete na Kinana.

Mwaka 2025 arudi Zanzibar akalee familia huku bara kura hapati labda ajipange upya.

Makundi mengi hayamsemi vizuri, Wanawake wanamponda, Vijana hawamkubali, Wazee wanashangaa, Machinga wamebutwaa, Wakulima hoi, Makundi ya kipato cha chini Hali ya fedha ngumu na Bei zinapanda kila siku watoa Huduma wengi wanajipangia Bei utadhani Hakuna Mamalaka ya Nchi. Hawa wote wanaona Mama ndie shida na hili gari bovu ni la kwake maana amekuwa laini mno kama ulojo.

Saidia kumwambia hapa Hali ya Maisha Mtaani kwako ikoje labda ataelewa.
Wapambe wanamharibia wanasema anakubalika.
 
Mlizoea kula mazao ya wakulima bure, wakulima wameumia kwa miaka yote ya utawala uliopita. Lalamika kupanda vitu vingine lakini sio mazao ya wakulima kama mahindi, mchele, etc.
 
Back
Top Bottom