Polepole ni CHADEMA, Bashiru Ally ni CUF na Askofu Gwajima ni CHADEMA

Polepole ni CHADEMA, Bashiru Ally ni CUF na Askofu Gwajima ni CHADEMA

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,335
Reaction score
56,108
Siku polepole anajiunga CCM hakuwa hata na shati la kijani wala hakujua atalipata wapi

Nape akaenda stoo akachukua shati lake la zamani kabla hajaota kitambi akampa.

Bashiru yeye uanachama wake CUF unajulikana miaka mingi hata Magufuli aliwahi litamka hili

Roho yake bado iko CUF. Gwajima yaani ni CHADEMA damu sema ni ukabila ulimfanya akawa upande wa Magufuli ila roho iko CHADEMA. Kila mtu analijua
Tatizo liko hapo
 
walisha hama, unless mnawafukuza ccm ili wakalete migogoro huko mlipo wabatizia kuwa ndio wanatokea
 
Hata Jerry Slaa ni Chadema.Familia na ukoo mzima wa Slaa ni Chadema,walipelekwa huko Chadema na Dr Wilbroad Slaa.Baba yake Jerry alikuwa anarusha helkopta iliyokuwa inambeba Dr Slaa akiwa mgombea urais wa Chadema.
 
Ni kweli kabisa
 
Basi upinzani uko vizuri,kumbe mafisadi na wanaunga mkono ufisadi ndo CCM wenyewe,tumekupata.
 
Back
Top Bottom