Kuna ukweli umejificha inawezekana kabisa Mheshimiwa Mbowe ni gaidi tusubiri serikali ithibitishe au kumkuta na hatia, sio kutuambia alitaka kulipuwa vituo vya mafuta na sehemu zingine, bado hilo...
Akina Polepole na akina Gwajima wanajiamini sana..
Wanajua CCM hawana Ubavu wa kuwavua Uanachama kwa sababu hatua hiyo itamexpose Ndugai na kumtaka awavue Ubunge..
Itakuwa ni fedheha kubwa sana...
"Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila...
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema hadi sasa 2.2% ya watanzania wameshapata chanjo ya covid 19 na hakuna maambukizi mapya yaliyoripotiwa.
Makubi amewataka wananchi wajitokeze kwa...
Katika marais wote niliowashuhudia katika utu uzima wangu sijawahi kushuhudia rais anayeongea kwa kifupi kama huyu wa awamu ya sita.
Anaongea kwa ufupi na mara tu yale aliyokusudia kuwasilisha...
Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.
Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu.
ebu sikia hapaona jinsi...
Binafsi naonelea ni vizuri zaidi kurekebisha Katiba yetu kuliko kuiandika upya.
Sababu zangu:
1- Katiba ni waraka wa kihistoria hivyo ni vyema baadhi yake kuachwa kama ilivyo itukumbushe...
Niko tabata chama hapa natoa loki kwa kupiga double kick mbili zenye thamani ya 4000 pembeni yamekaa majamaa mawili yenye sura na matumbo ya kifisadi yanakunywa wine na kitimoto
Ghafla umeme...
Wanaukumbi.
Chadema mnapewa onyo kwa barua na Jeshi la Polisi msikusanyike. Mnaiposti barua kwenye Mitandao na kujitapa kwamba tutakusanyika tuone polisi watafanya nini.
Polis wanawakamata...
WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema serikali haitomvumilia mkuu wa idara katika taasisi ya umma atakayesababisha mtumishi...
Sio kila mtanzania ni CCM. Watanzania wasio na vyama bi wengi kuliko Wana CCM au wenye vyama vingine.
Kutulazimisha wote kumpitisha mbunge ambae hatujampigia kura sababu Tu ya kumuondoa mpinzani...
Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama...
Wanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za...
"Mungu akikupa amekupa, Wanadamu wakikupa ukiwapingapinga kidogo wanasema tukunyang'anye tulichokupa, heri kupewa na Mungu kuliko kupewa na Wanadamu,mimi hunitishi kitu kwasababu kila nilichonacho...
Mheshimiwa Polepole kilio chake cha kuzimwa kwa sauti yake kinakisikika ila kwa hakika tunashindwa kumuelewa.
Kwa hakika kilio kama chake leo, kimekuwa chetu muda wote hata kipindi yeye akiwa...
Kumekuwapo na wimbi la Mafua yenye kuambatana na homa kali, maumivu ya mwili, kikohozi, kupoteza hamu ya kula, nk yasiyokuwa ya kawaida.
Zaidi sana leo hadi mechi ya wekundu wa Msimbazi na Kagera...
Siyo kila mtu anayesema ana mamlaka ya kufanya jambo anayo mamlaka hayo.
Kile kipindi cha phone-in. Watu walikuwa wanapiga kutoa maoni yao kuhusu kile kipindi. TCRA iliwasikiliza watu wale? Wale...
Wanabodi,
Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".
Kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.