Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha omicron. Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo...
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Miradi mikubwa Tanganyika ni mingi haiwezi kukamilika ndani ya muda huu mfupi. Tunapiga kura ya maoni pale tulipoishia kwenye mchakato wa katiba then tunafanya uchaguzi 2025 chini ya Katiba Mpya...
4 Reactions
64 Replies
7K Views
Serikali na chama tawala wamedhibiti watu kusema na kujadiliana kwenye TV na Radio Kwa manufaa ya afya ya akili ya Watanzania. Wakafungia magazeti na baadhi ya online tv. Wakatunga sheria Kali na...
52 Reactions
78 Replies
5K Views
Haiwezekani mpigie chapuo chanjo za kovid na kisha mkiri kwa kinywa chenu kuwa chanjo za kovidi sio kinga bali zinasaidiia ukipata kovidi isikuchape kwa nguvu. Je, mnadhani watanzania ni wajinga...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Taarifa mpya inaonyesha kwamba huyu ndiye aliyekuwa msiri wa kwanza wa Jiwe , huyu ndiyo anayevishikilia viapo vyote vya wanasiasa wasaliti akiwemo Mashinji , Nassari , Waitara na wengine kibao...
28 Reactions
78 Replies
6K Views
Wadau mjumbe hauwawi,,tulikosea Sana kumwamini lissu kuwa anafaa kuwa rais wa nchi ,tulikosea Sana na hii kitu imekighalimu Sana chama chake,,tulidhani Kila mhubiri anafaa kuwa mchungaji,,la hasha...
16 Reactions
148 Replies
8K Views
Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi? #Let's give a Time time,
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Mwenezi wa CCM komredi Shaka amesema chama kimegundua dosari katika kutimiza masharti ya uanachama kwa wabunge wake watatu ambao ni Komredi Polepo!e, Askofu Gwajima na Jerry Slaa na kwamba chama...
8 Reactions
65 Replies
5K Views
Mwanzo wa jambo lolote huwa mgumu ndiyo maana waswahili husema Roma haikujengwa siku moja haijalishi tumetukanwa sana lakini Leo Tumefaniwa kuwasemea watanzaia walio wengi ACT tumepitia kwenye...
2 Reactions
3 Replies
423 Views
Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina. KWA WASIOSIKIA VIZURI AMESEMA ‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay...
25 Reactions
753 Replies
128K Views
Nimetoka kusikiliza hotuba mbalimbali za baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwa namna alivyoiunganisha Tanzania. Pia nimeona humu Jf makamanda wakidai Freeman Mbowe ndiye Mandela wa Tanzania na kwamba...
1 Reactions
12 Replies
839 Views
Wanabodi Declaration of Interest Naomba kuanza na ku declare interest kuwa mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ambaye ni muumini wa haki na demokrasia ya kweli ndani ya Bunge. Nautoa ushauri...
5 Reactions
97 Replies
12K Views
Alipojibu swali kuhusu kumsamehe Mbowe juzi,rais alisema demokrasia yetu ni changa. Tusijilinganishe na wale ambao demokrasi yao ina miaka mia mbili. Kwa hiyo unapoongea kuhusu kutaka kumsamehe...
1 Reactions
0 Replies
513 Views
Mivutano na kauli tata pande zote mbili kwa wenyeviti wa vyama hivi imekuwa mikubwa ndani ya vikao vyao na nje ya vikao vyao. Je ni yupi chama chake kinajengwa kupitia mivutano hiyo. Ni yupi...
1 Reactions
1 Replies
562 Views
1. Ugeni kwenye kiti cha Urais. Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la...
29 Reactions
88 Replies
7K Views
Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Siku zote Mwanafunzi anapokwenda darasani ufanya Kwa mujibu wa maelekezo ya walimu na wasimamizi wake, ufanya Kwa mujibu wa Sheria na kanuni za chuo na ufanya Kwa kuzingatia principles za vyuo...
3 Reactions
3 Replies
938 Views
Niliaidi nikifika Chato ntashuka kwenda kumwomba Radhi mwendazake kwa kumlaumu enzi za utawala wake pale alipo mweka ndani Kabendera,nimefanya hivyo ila nimeshindwa kupiga PC walau niwaoneeshe...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Mhe. Rais umeeleza madarasa yajengwe Ila waliokwenda kujenga wamekosea strategy, uwezi kujenga madarasa mawili kwenye shule zenye madarasa ya kutosha mjini ukaenda kujenga madarasa mawili kijijini...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom