Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe radhi nilimwazia vibaya.
Kati ya watu waliosimama Katika mazingira magumu ni huyu kijana. Alisimama wakati wa JPM na Sasa amesimama wakati wa Mhe. Samia. Nikiri kwamba analipwa mshahara sahihi, muda wote yupo busy ofisini ,kwenye vikao, Mikutano na Mahakamani. Amesimama katika kofia ya mwenyekiti,makamu na Katibu Mkuu.
Anapambana kwa hoja na anajenga hoja, Hana degree lakini anafanya kazi za PhD. Nitoe pongezi kwake, chama kimeendelea kuwa salama. Sijui chama kingekuwa wapi endapo Mashinji ndiye angeshika uskani kipindi hiki ambacho viongozi wakuu wanatumikia adhabu Kwa uzalendo wao kwa Watanzania. Kama Mashinji aliacha ukatibu Mkuu kwa kulipiwa faini naamini angeweza kukiuza chama mchana kweupe.
Nitoe wito Kwa vijana kujijengea uaminifu katika nafasi ndogo Ili mpewe nafasi kubwa zaidi. Acheni tamaa , big up Mnyika usife moto wala kurubuniwa maana ujui muda Wala saa ambao warubuni watakosa nguvu walizonazo. Naamini vijana wenzako akina Nassary wanatamani wangekuwa upande wa wananchi kipindi hiki lakini walikosa uvumilivu.