Wadau habari za majukumu
Napenda nianze kwa kumpongeza Rais wetu Samia kwa kuona changamoto ya upungufu wa madarasa nchini
Na ndiyo maana alipo pata pesa za IMF Kupambana na COVID-19 akazipeleka...
Yaani nchi hii tumefikia level ya juu sana ya uonevu. Hivi kweli Mbowe huyu aliyeshitakiwa Dar es Salaam, inaingia akilini kweli afanyie mipango yote Wilayani Hai tukio la nchi nzima bila kua...
Habari zenu wakuu wenzangu. Kuna huyu mpangaji ambae amekuwa tatizo kubwa kwa mwenye nyumba na wapangaji wenzake. Chanzo ni hivi... baada ya malalamiko mengi kuhusiana na nyumba aliyopanga...
Habari ya uzima ndugu zangu?
Nimewaza sanaaa hili jambo,maana naona namna mwananchi wa chini kiuchumi anavyoendelea kuminywa kupitia ongezeko la mafuta.
Ni miezi miwili imepita madereva mkoani...
Chadema wana wivu na Zitto Kabwe kwa kuupiga mwingi mbele ya Rais Samia. Mama Samia alionekana kumuelewa zaidi Zitto kwa lunga na tone aliyotumia kuhusu Mbowe kuliko akina Lisu na Lema. Issue is...
"Mungu akikupa amekupa, Wanadamu wakikupa ukiwapingapinga kidogo wanasema tukunyang'anye tulichokupa, heri kupewa na Mungu kuliko kupewa na Wanadamu,mimi hunitishi kitu kwasababu kila nilichonacho...
Ndugu wana jukwaa, kwenye kichwa cha habari hilo ni swali, hivyo katika kutoa hoja naomba kwanza tutangulize kwanza kujibu na baadae ndio zifuatie hoja za uchambuzi.
Katika maswala mazima ya...
Kila product ama business huwa ina life cylce.....magazeti mengine huanzishwa kwa mkakati maalum, mengine yalianzishwa Kisiasa. Mengine kibiashara nk.
Kwa kuanzia Nahisi Tanzanite iko...
Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya Marekani, CDC imeshauri watu kupata chanjo za Pfizer ama Moderna kuliko J&J.
CDC imefikia uamuzi huo baada ya kushauriwa na wataalamu wa afya kwamba hizo chanjo...
Watu wanasema, rais katoa bilioni kadhaa, rais katoa mashine hii nk.
Sasa kwa mambo negative itakuwa sahihi kumhusisha rais? Kwamba rais kawatenga mpwapwa hawana maji. Hospitali ya namtumbo...
MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na...
Haya tuendeleeni tu:
1. Kuonea na kunyanyasa watu
2. Kuvunja sheria na kupuuza katiba
3. Kujiona sisi tuna mam
laka sawa na Mungu juu ya binadamu wenzetu na mazingira yao
4. Kutumika kwa manufaa...
Mbunge wa Ludewa mh Kamonga ameiomba serikali iliangalie jimbo lake kwa jicho la huruma kwani hawana barabara wala meli katika vijiji vingi.
Kamonga alikuwa kijijini kwa akina Mgaya ambako...
Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko...
2007-08-27
Na Simon Mhina
Mwenyekiti wa TLP, Bw. Augustine Mrema, amesema wapinzani wameunda vikosi viwili, cha anga na nchi kavu kwa ajili ya kuishambulia CCM.
Aidha, amesema ili kutekeleza...
Baada ya uchaguzi wa Kenya 2017, Kenya iligawanyika Sana, mnakumbuka hata kujiapisha kwa Laila odinga.
Kenyatta kwa kuwa ni mtoto wa mjini akaja na project ya Handshake, yaani kupatana na...
Kuhusu kukosea kosea kwa maneno kunazidi kuongezeka kwa Mheshimiwa Rais wetu. Wkt akihojiwa na BBC aliongea kuwa wenzake Mbowe walishafungwa na ilikuwa inasubiriwa Mbowe tu arudi kutoka ughaibuni...
Habari Mhe Waziri , Mohammed Mchengerwa ,Kwanza ni kupongeze Kwa uteuzi wako ,kazi unaenda nayo vizuri ,kuna maeneo kidogo ningependa kushauri ,JF ni kioo cha jamii kitumie katika kujirekebisha...
Eti anajiuliza Mwanasisasa anawezaje kumaliza PhD kwani anatumikia siasa na wakati huo huo anabukua! hawa ndiyo wale MaProf waliokuwa wakizingatia sana kupoteza muda mwingi wa kusoma Enzi zao...
Kuna ukweli umejificha inawezekana kabisa Mheshimiwa Mbowe ni gaidi tusubiri serikali ithibitishe au kumkuta na hatia, sio kutuambia alitaka kulipuwa vituo vya mafuta na sehemu zingine, bado hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.