Mbowe akiwa Rais wa JMT atakuwa na tofauti yoyote na hayati Magufuli? Mbowe anatoka kanda kubwa pia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,839
141,756
Nimetoka kusikiliza hotuba mbalimbali za baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwa namna alivyoiunganisha Tanzania.

Pia nimeona humu Jf makamanda wakidai Freeman Mbowe ndiye Mandela wa Tanzania na kwamba akitoka gerezani watamchagua kuwa Rais kunako 2030.

Ndio najiuliza kuna tofauti yoyote kati ya Kanda ya Kaskazini na ile kanda ya ziwa katika kubebana?

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Acha uchochezi na ulinganifu usio na uwiano. Linga Nisha angalao vyenye mlingano.
 
Nimetoka kusikiliza hotuba mbalimbali za baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwa namna alivyoiunganisha Tanzania.

Pia nimeona humu Jf makamanda wakidai Freeman Mbowe ndiye Mandela wa Tanzania na kwamba akitoka gerezani watamchagua kuwa Rais kunako 2030.

Ndio najiuliza kuna tofauti yoyote kati ya Kanda ya Kaskazini na ile kanda ya ziwa katika kubebana?

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!

Swala sio kanda kubwa, swala Ni ushamba Na ulimbukeni
 
Nimetoka kusikiliza hotuba mbalimbali za baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwa namna alivyoiunganisha Tanzania.

Pia nimeona humu Jf makamanda wakidai Freeman Mbowe ndiye Mandela wa Tanzania na kwamba akitoka gerezani watamchagua kuwa Rais kunako 2030.

Ndio najiuliza kuna tofauti yoyote kati ya Kanda ya Kaskazini na ile kanda ya ziwa katika kubebana?

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Hakutakuwa na tofauti. Mwalimu alikuwa na akili sana kukwepa political diminance ya makabila makubwa na yenye nguvu ndani ya Tanzania. Hicho kitu ni hatari sana. Huvutia unaequal distribution of resources, maginalization of other communities na eventually hate among us.
 
21st middle class wa kitanzania bado tunajadili ukabila na ukanda!ngoja nipate kikombe cha ulanzi hapa Lingusenguse maana majadiliano yatakua ya siha zaidi kuliko uzi huu.
 
Back
Top Bottom