Itakuwa sawa kumhusisha rais na mambo negative nchini?

Itakuwa sawa kumhusisha rais na mambo negative nchini?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,752
Reaction score
20,875
Watu wanasema, rais katoa bilioni kadhaa, rais katoa mashine hii nk.

Sasa kwa mambo negative itakuwa sahihi kumhusisha rais? Kwamba rais kawatenga mpwapwa hawana maji. Hospitali ya namtumbo haina dawa, Rais Samia kapwaya nk.
 
Back
Top Bottom