Saa ya mavuno ikifika tusilalamike

Saa ya mavuno ikifika tusilalamike

The golden

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
1,383
Reaction score
2,587
Haya tuendeleeni tu:
1. Kuonea na kunyanyasa watu
2. Kuvunja sheria na kupuuza katiba
3. Kujiona sisi tuna mam
laka sawa na Mungu juu ya binadamu wenzetu na mazingira yao
4. Kutumika kwa manufaa ya watu wachache na wala siyo taifa
5. Kuwaona watu wengine ni wajinga halafu sisi tuna akili kuliko wao.


Saa ya mavuno iko karibu sana.
 
Back
Top Bottom