Polepole, Silaa na Gwajima wataibwaga CCM Dodoma

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau Nawasalimu
Watanzania tunasubiri Kujua Hatima ya Makada 3 wa CCM ambao Wanatakiwa kufika mbele ya Kikao Kizito cha Chama.Makada hao ni Pamoja na Humphrey Polepole,Jerry Slaa na Askofu Gwajima.

Kwa jinsi Walivyojipanga MAKADA hao Wataibwaga CCM Mchana Kweupe bila Ubishi na KUOMBWA RADHI kutokana na Jinsi Walivyo Muhimu kwenye Chama chao.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Hakuna wa kuwaomba msamaha hao, CCM ni chama kubwa na lina watu wenye weledi mkubwa sana kuwazidi hao.
Bwana Pole×2 naona unajiandaa kisaikolojia.
 
Mpaka wameitwa kusikilizwa wameonekana hawana chochote cha kujitetea zaidi ya kubwabwaja tu.

Kwa hiyo wajiandae kisaikolojia kuondoka CCM bila manung'uniko wala kinyongo
 
Wadau Nawasalimu
Watanzania tunasubiri Kujua Hatima ya Makada 3 wa CCM ambao Wanatakiwa kufika mbele ya Kikao Kizito cha Chama.Makada hao ni Pamoja na Humphrey Polepole,Jerry Slaa na Askofu Gwajima.

Kwa jinsi Walivyojipanga MAKADA hao Wataibwaga CCM Mchana Kweupe bila Ubishi na KUOMBWA RADHI kutokana na Jinsi Walivyo Muhimu kwenye Chama chao.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Labda waibwage Chadema wana nguvu gani za kiasisa? Vyeo vyote wamepewa na CCM alishindwa Lowasa alikuwa na watu .
 
Hâta kama alizidiwa n'a nguvu ya pesa kiasi kwamba akaonekana ni miongoni mwao, bado naamini Polepole ni aina ya vijana wanaojua kujenga hoja na wenye madini mengi kichwani ambao ni nadra sana kuwakuta kule CCM.

ASILI ya CCM ni watu incompetent kuanzia mkuu wao wa sasa ambaye hâta form four tu alifeli na wengine wote, habu fikiria Nape , Makamba Eti ndo think tanks na vijana wa baadae wa chama, mtu kama Steve Nyerere nae eti ni kada😀, haya mambo utayakuta huko tu.

Yule hayati alijua kabisa CCM kumejaa vilaza wengi ambao hawawezi kumshauri vizur ndomaana aka- recruit vijana nje ya chama kisha akawatumia na baadhi ya wazee wa zamani ambao wrote wamewauwa kwa kisingizio cha wimbi la corona , huyu wenu kaamua kukumbatia vilaza na wajinga matokeo yake nchi inenda kijingakijinga tu.

CCM imefeli pakubwa sana.
 
Naona siku hizi Ritz umerudi kwa kasi jukwaani baada ya yule mtawala wa kusukuma kudanja. Hichi kibibi cha kikojani huenda kitakuwa kinakulipa fresh.
Kwàni ninyi makengeza anawalipaje hapo Ufipa?

IMG_20211103_093523.jpg
 
Hâta kama alizidiwa n'a nguvu ya pesa kiasi kwamba akaonekana ni miongoni mwao, bado naamini Polepole ni aina ya vijana wanaojua kujenga hoja na wenye madini mengi kichwani ambao ni nadra sana kuwakuta kule CCM.

ASILI ya CCM ni watu incompetent kuanzia mkuu wao wa sasa ambaye hâta form four tu alifeli na wengine wote, habu fikiria Nape , Makamba Eti ndo think tanks na vijana wa baadae wa chama, mtu kama Steve Nyerere nae eti ni kada😀, haya mambo utayakuta huko tu.

Yule hayati alijua kabisa CCM kumejaa vilaza wengi ambao hawawezi kumshauri vizur ndomaana aka- recruit vijana nje ya chama kisha akawatumia na baadhi ya wazee wa zamani ambao wrote wamewauwa kwa kisingizio cha wimbi la corona , huyu wenu kaamua kukumbatia vilaza na wajinga matokeo yake nchi inenda kijingakijinga tu.

CCM imefeli pakubwa sana.
Kama ni kufeli darasani hata Pole Pole ni failure, tena failure mbaya akiwa secondary.
Tatizo kubwa la vijana wa CCM ni kufikiri kwa kutumia tumbo badala ya ubongo, na hiyo inatokana na mfumo wa CCM kuwafanya hivyo. Kama huamini, jaribu kuangalia wale vijana wote machachari waliokuwa upinzani halafu wakahamia CCM na kupewa vyeo, sikiliza wanachosema sasa na kukifanya, ni upuuzi mtupu.

Kuwa mwanaCCM tu, huko ni kulaaniwa.
 
Back
Top Bottom