Hatma ya Tanzania mikononi mwa CCM

Hatma ya Tanzania mikononi mwa CCM

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,336
CCM ndo mungu mtu wa Tanzania, wafuasi wa CCM 98% wapo mentally disturbed kwa kiwango kikubwa mno.

Kwao kila kitu ni kizuri tu, yaani hakuna baya lolote ndani ya Tanzania.

Kwao Uchumi uko vizuri mno, maisha ya watu yapo salama kila kona ya nchi.

Watu wa namna hiyo huwa ni wagonjwa wa akili, Binadamu mwenye akili Timamu kabisa ni lazima aone kasoro palipo na kasoro.

Upinzani upo Tanzania nzima, ila umedhibitiwa kwa nguvu kubwa za Dola,kuna tukio nililishuhudia Geita kwa macho yangu wakati wa Uchaguzi mkuu.

Wafuasi wa Chadema walikuwa wakifanya kampeni ,mara wakavamiwa na wafuasi wa CCM na kuanza kupigwa.

Police walikuwepo wakishuhudia tukio lote, Police wakiongozwa na mkuu wa kituo wakaingilia Kati na kuwakamata wafuasi wa CCM na Kisha kuwaweka selo.

Kesho yake yule mkuu wa kituo aliitwa na RPC,kwa maagizo maalumu kutoka juu,na baadae alitoweka Geita.

Taarifa tulizokuja kupata baadae ni kwamba alifukuzwa kazi.

Hiyo ndo CCM,mungu mtu wa Tanzania, yenye ndoto za kuitawala Tanzania milele yote.

Utadhani wataishi milele yote.

Naona giza nene limeifunika Tanzania, kesho ya Tanzania ni giza nene.

ila wana CCM wanaona nuru tupu kwa sababu CCM inaishi milele na itatawala Tanzania milele.
 
Upinzani upo Tanzania nzima,ila umedhibitiwa kwa nguvu kubwa za Dola,kuna tukio nililishuhudia Geita kwa macho yangu wakati wa Uchaguzi mkuu.

Mwingereza aliondoka Tanganyika bila ya kuwa na mfungwa wa kisiasa! Alitujali. Mwingereza alitupa uhuru wa kufanya mikutano ya siasa japo amri ya jeshi la polisi ilitoka Londoni.
 
Bado kitambo kidogo malizote na viwanja walivyo tupora vitarudi
Inaanza KATIBA yatakayo fuatia ni vigezo na masharti Mungu hachezewi
 
CCM ni kama kansa ndani ya nchi hii kwa kadri inavyoachwa muda mrefu ndio inazidi kusambaa na kuleta madhara......
Uzi una masaa mawili, nashangaa mataga hawajauvamia , nadhani uzi umewachoma kwenye moyo.
Halafu waganga wa kienyeji na wachawi wengi ni wanachama wa CCM.
CCM ni ndugu kabisa na Lucifa
 
CCM ndo mungu mtu wa Tanzania, wafuasi wa CCM 98% wapo mentally disturbed kwa kiwango kikubwa mno.
Kwao kila kitu ni kizuri tu, yaani hakuna baya lolote ndani ya Tanzania.
Kwao Uchumi uko vizuri mno, maisha ya watu yapo salama kila kona ya nchi.
Watu wa namna hiyo huwa ni wagonjwa wa akili, Binadamu mwenye akili Timamu kabisa ni lazima aone kasoro palipo na kasoro.
Upinzani upo Tanzania nzima,ila umedhibitiwa kwa nguvu kubwa za Dola,kuna tukio nililishuhudia Geita kwa macho yangu wakati wa Uchaguzi mkuu.
Wafuasi wa Chadema walikuwa wakifanya kampeni ,mara wakavamiwa na wafuasi wa CCM na kuanza kupigwa.
Police walikuwepo wakishuhudia tukio lote, Police wakiongozwa na mkuu wa kituo wakaingilia Kati na kuwakamata wafuasi wa CCM na Kisha kuwaweka selo.
Kesho yake yule mkuu wa kituo aliitwa na RPC,kwa maagizo maalumu kutoka juu,na baadae alitoweka Geita.
Taarifa tulizokuja kupata baadae ni kwamba alifukuzwa kazi.
Hiyo ndo CCM,mungu mtu wa Tanzania, yenye ndoto za kuitawala Tanzania milele yote.
Utadhani wataishi milele yote.
Naona giza nene limeifunika Tanzania, kesho ya Tanzania ni giza nene.
ila wana CCM wanaona nuru tupu kwa sababu CCM inaishi milele na itatawala Tanzania milele.
Wacha uongo, mfano Polepole sio CCM? Usikariri weka facts.
 
PolePole unamwona ana akili?
Sasa hivi anakula matapishi yake, wakati Magufuli akiwa hai PolePole alikuwa busy kufuta NGO za haki za Binadamu,sasa hivi ndo anashinda huko kuomba kumbi za mikutano.
PolePole aliwapiga vita wapinzani kwa nguvu zake zote, hakujua kuwa kuna kesho, unataka fact ipi? au na wewe ni CCM mkosa akili?
 
Alifunga NGO ipi? Wacha kukariri. Ndio nyinyi mmekaa kudanganyana ati wakati wa JPM nchi ilikuwa imejitenga etc? Wewe unajiona una akili? Huyo Mbowe mbona anang'ang'ania kuongoza Chadema tangu izaliwe, wewe hulioni hilo? Au yeye ni mjomba wako?
 
Polepole anapambana na wahuni...kwa maslahi ya taifa.
 
Alifunga NGO ipi? Wacha kukariri. Ndio nyinyi mmekaa kudanganyana ati wakati wa JPM nchi ilikuwa imejitenga etc? Wewe unajiona una akili? Huyo Mbowe mbona anang'ang'ania kuongoza Chadema tangu izaliwe, wewe hulioni hilo? Au yeye ni mjomba wako?
Wewe ni mpumbavu kabisa, Chadema inakuwasha nini wakati haikuhusu?
Chadema inapanga Uchumi wako na matako ya mkeo?
Jitambue ,acha upumbavu.
 
CCM ndo mungu mtu wa Tanzania, wafuasi wa CCM 98% wapo mentally disturbed kwa kiwango kikubwa mno.

Kwao kila kitu ni kizuri tu, yaani hakuna baya lolote ndani ya Tanzania.

Kwao Uchumi uko vizuri mno, maisha ya watu yapo salama kila kona ya nchi.

Watu wa namna hiyo huwa ni wagonjwa wa akili, Binadamu mwenye akili Timamu kabisa ni lazima aone kasoro palipo na kasoro.

Upinzani upo Tanzania nzima, ila umedhibitiwa kwa nguvu kubwa za Dola,kuna tukio nililishuhudia Geita kwa macho yangu wakati wa Uchaguzi mkuu.

Wafuasi wa Chadema walikuwa wakifanya kampeni ,mara wakavamiwa na wafuasi wa CCM na kuanza kupigwa.

Police walikuwepo wakishuhudia tukio lote, Police wakiongozwa na mkuu wa kituo wakaingilia Kati na kuwakamata wafuasi wa CCM na Kisha kuwaweka selo.

Kesho yake yule mkuu wa kituo aliitwa na RPC,kwa maagizo maalumu kutoka juu,na baadae alitoweka Geita.

Taarifa tulizokuja kupata baadae ni kwamba alifukuzwa kazi.

Hiyo ndo CCM,mungu mtu wa Tanzania, yenye ndoto za kuitawala Tanzania milele yote.

Utadhani wataishi milele yote.

Naona giza nene limeifunika Tanzania, kesho ya Tanzania ni giza nene.

ila wana CCM wanaona nuru tupu kwa sababu CCM inaishi milele na itatawala Tanzania milele.
2183704_IMG_1183.jpg
 
Karma is the best resort
 
Tawala za nchi "zilizoamua kutulia" hazipatikani kwa POROJO ZA MIDOMONI NA SERA ZA KUKOPI.....

#Siempre CCM
 
Haya malalamishi yashakuwa ya kutosha sasa tunahitaji kuona vitendo tu kwa sasa! Hata mtoto akichoka maisha ya kubanwa banwa na mzazi huchukua maamuzi ya kuanza mbele kujitegemea.
 
Ogopa genge linaloweza
Kuteka
kuuwa
kutunga kesi
kupora mali
hiki sio chama cha siasa ni mafioso
 
Back
Top Bottom