KM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari...
Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani...
Baada ya kupata wasaa wa kutosha kuzisikiliza hoja zote kutoka Maria Space aliyojumuika pia Mh. CJ:
Jaji Mkuu alijumuika Maria Space Dec.20
Yafuatao ni maoni yangu:
1. Kwa weledi, ufahamu na...
Naomba nitumie jukwaa la JF kuelezwa Jambo ambalo Watumishi wengi hasa wa Umma awalizungumzi ila Kwa anayefuatilia taratibu za kesi zilizofunguliwa 2015 watakubaliana na Mimi kwamba Watu waliteswa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA...
Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy.
Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya...
James Mbatia: Haikuwa kazi rahisi tulipoamua kuanza kuandaa makongamano ya mabadiliko ya katiba tukiwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam mwishoni mwa miaka ya 1988 kuelekea 1989 na...
Tunashuhudia wafuasi wa CHADEMA humu mitandaoni wakiwa na imani kubwa sana na chama chao huku wakiwaamini viongozi wao mithili ya miungu watu kwamba eti tukiwapa ridhaa ya kuongoza nchi basi...
Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini.
TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM...
Enzi za Dk Slaa Chadema yetu ilikuwa na heshima kubwa kwenye jamii yetu kama chama cha ukombozi ambacho kinapinga ufisadi na maonevu ya kila namna.
Happa kati tulipoteza muelekeo na kuyumba...
Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari amesema Magufuli HAKUWAMALIZA WAHUNI WOTE , kwamba kumbe kulikuwa na mkakati maalum wa kuwamaliza Wahuni , sasa huyu anayetamka haya alikuwa...
Kama wana CCM kindakindaki, lini tutapewa taarifa ya uhakiki wa Mali za chama nchi nzima? Bashiru na Chalamila walifanya kazi nzuri hadi Mkiti akawashukuru kwanafasi mbalimbali.
Je, haki yetu...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka kwa Mamlaka ya Uteuzi .
Dr Mukangara alikuwa Mwenyekiti wa bodi ya TBS , na uteuzi wake umetenguliwa leo 23/12/2021 .
Chanzo : Muungwana Blog
======
Hii sera ya kulinda viwanda vya ndani imekuja kua mzigo kwa wananchi tena mzigo mzito sana,
sijajua kama walioweka sera hii walijua nini kitatokea mbele lakini naona kabisa tunakoelekea tunaenda...
Kuna vitu vitatu kwa haraka naviona vinamsaidia Rais wa Zenji.
Mosi Elimu yake, hapa sizungumziii Udakitari wake, nazungumzia kusoma Bara hasa kusoma karibu na Aza Boy, kwa maana ya Tambaza...
Wakati Ujerumani imegawanyika magharibi na mashariki, Ujerumani Mashariki ilishikilia sana hii sera ya protectionism(kulinda viwanda vya ndani). Bidhaa nyingi hazikuruhusiwa kuagizwa toka nje ya...
Je CCM haioni tatizo juu ya hizi kauli mbili za mbunge wao
1. Kumwita mwenyekiti mstaafu Godfather
2. Kusema chama kina wenyewe
Hizi kauli hazina maadili na zinaonyesha dharau kubwa sana kwa...
Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa...
Iko recorded katika hoja zilizoongelewa katika Maria Space Dec. 20.
Katika maelfu ya wajumbe ya waliokuwapo, Mh. Jaji Mkuu naye alikuwa katika mahudhurio.
Kwamba katika maazimio, umuhimu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.