Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Barnabas Essau amesema hakuna mwanachama yoyote wa chama hicho aliyerudisha kadi kama ilivyoripotiwa na ITV jana.
Mzee Essau amesema kadi zilizooneshwa jana...
Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili...
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?
Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake...
Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa...
"Waswahili usema, ukistaajabu ya Mussa utayona ya Filauni"
Hivi ni nani anae amini ya kuwa mtu anaweza mpinga Ndore Rais aliyekuwa hoi kitandani na kumkwapua flash?
Je kwa masilah ya nani?
Kama...
Kurudi kwa wamachinga kwenye maeneo waliyozuiwa kumeambatana na kuchangishwa rushwa ya 1000 kila mmoja ili uruhusiwe kupanga bidhaa zako barabarani.
Maeneo yote waliyofukuzwa sasa wanarudi kwa...
Wote sasa wanadandia kazi iendelee , Sasa hivi hata anayetamka neno hilo anaweza kutimuliwa kwenye vikao vyao !
Miongoni mwa wapambe waliolichukulia neno hilo kuwa kama Ibada za dini zao anaitwa...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali kuhusu Huu udikiteta unaozungumzwa sana kwenye mitandao kuwa Tanzania tunatawaliwa kidikiteta, na watu kudai kuwa rais Magufuli ni dikiteta hadi kutaka...
Niliandika asubuhi japo ujumbe haukuwa moja kwa moja kwako,,lakini uzalendo wangu umenituma kurudia tena kuandika,,,Mimi ni mwananchi ambae shughuli zangu hunifungamanisha sana na askari wa...
Mwaka 2021 hakika utakumbukwa kwa kuandika historia mpya duniani haswa kwa mlipuko wa COVID-19 ulioua maefu ya watu duniani.
Kwa Tanzania, specifically, Mwaka 2021 umeandika historia kubwa katika...
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako...
Babati. Sakata la kukamatwa na polisi na kulazwa mahabusu kwa viongozi wawili wa CCM wilayani Babati Mkoa wa Manyara, kwa madai ya kumpiga askari Polisi limechukua sura mpya baada ya mashuhuda wa...
Nafurahishwa na mitizamo na pani zilizonazo kambi mbili tofauti zinazotunishiana vifua kuhusiana na kuukubali au kutokuukubali uongozi wa Mwendazake John Joseph Pombe Magufuli.
Nafurahi kwamba...
Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi...
Leo katika pita pita, yangu nimeona andiko linaro muusu mke wa Rais wa Zanzibari ndugu Ally Hassan Mwinyi, akiwaaidi vijana kuwa anawaunga mkono, na kuwataka wasisite kwenda ofisini kwake...
CCM ndo mungu mtu wa Tanzania, wafuasi wa CCM 98% wapo mentally disturbed kwa kiwango kikubwa mno.
Kwao kila kitu ni kizuri tu, yaani hakuna baya lolote ndani ya Tanzania.
Kwao Uchumi uko vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.