#COVID19 Polepole: Watanzania tuendeleeni kutumia njia za asili kupambana na Corona

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,629
2,000
Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?

Bwana Polepole ametolea mfano wa nchi zote zilizojaribu kupambana na Corona kwa kufuata mfumo wa kimagharibi mwishoni wa mwaka 2020 ziliishia kupata ukuaji hasi wa uchumi kwenye nchi zao!

Polepole amesema ni Tanzania tu ndiyo iliyopata ukuaji wa uchumi chanya kwenye nchi zote za Afrika mashariki. Sasa kwa nini sisi watanzania tunaona aibu kujivunia hizo mbinu za asili? Amehoji mh Polepole.

Mwaka jana tulipambana na Corona kwa kutumia njia tatu.
1. Kumtanguliza Mungu mbele
2. Kufuata mbinu mbalimbali tunazoshauliwa na watalaamu wetu
3.Kuchapa kazi kwa bidii

 

zimmerman

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,030
2,000
Waliokufa Kwa Corona waliotumia hizi mbinu za Kienyeji tunasemaje. Dada yangu alijufukiza, akala Nimcaf yet she died from Corona. RIP my sister. Hapa Tz tuseme tuu kuna Nguvu ya Mungu tusioielewa.
Suala la kumtegemea Mungu katika kupambana na corona hakuepukiki. Ni ujinga na kiburi cha mwanadamu kudhani kwamba kila tatizo lipo ndani ya uwezo wa mwanadamu kusolve.

Mkuu wetu wa nchi awamu ya tano alilielewa hilo na neema ya Mungu ilitufunika na imeendelea kutufunika hadi leo hii. Wasiomwamini Mungu wapuuze tu, lakini kwetu sisi acha Mungu aitwe Mungu.
 

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,629
2,000
Suala la kumtegemea Mungu katika kupambana na corona hakuepukiki. Ni ujinga na kiburi cha mwanadamu kudhani kwamba kila tatizo lipo ndani ya uwezo wa mwanadamu kusolve. Mkuu wetu wa nchi awamu ya tano alilielewa hilo na neema ya Mungu ilitufunika na imeendelea kutufunika hadi leo hii. Wasiomwamini Mungu wapuuze tu, lakini kwetu sisi acha Mungu aitwe Mungu.
Kabisa mkuu, chadema ni watu wa ajabu sana
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,290
2,000
Katibu mwenezi msitaafu wa ccm na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?

Bwana Polepole ametolea mfano wa nchi zote zilizojaribu kupambana na Corona kwa kufuata mfumo wa kimagharibi mwishoni wa mwaka 2020 ziliishia kupata ukuaji hasi wa uchumi kwenye nchi zao!
Polepole amesema ni Tanzania tu ndiyo iliyopata ukuaji wa uchumi chanya kwenye nchi zote za Afrika mashariki. Sasa kwa nini sisi watanzania tunaona aibu kujivunia hizo mbinu za asili? Amehoji mh Polepole.
Mwaka jana tulipambana na Corona kwa kutumia njia tatu.
1. Kumtanguliza Mungu mbele
2. Kufuata mbinu mbalimbali tunazoshauliwa na watalaamu wetu
3.Kuchapa kazi kwa bidii

Hawa pro meko wasipewe platform

wanyongwee wote
 

Kivumishi Kielezi

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
629
1,000
Wale madalali wa chanjo hawawezi kuelewa hii. Watafura kama vifutu.

Chanjo ya beberu iko njiani, na wao walishapokea mapesa ya udalali.

Ukiwaeleza habari za mimea-tiba ama tiba-asili wanafyumu na kusonya kwa ghadhabu.

Madalali wa corona hawa. Hawatusumbui.
 

Kivumishi Kielezi

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
629
1,000
Na waliotumia njia za kisasa na bado wamekufa kuliko sisi nao tusemeje?
Hizo chanjo zina masumu ya muda mfupi na muda mrefu.

Usipokufa ghafla basi jiandae sumu kukuvuruga kwa muda mrefu ujao.

Ini, figo, DNA destruction na mengine mengi.

Madalali wa chanjo hawataki kusikia hayo.

They are very vicious and money-propelled like zombies.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom