Mbowe akifariki, CCM mtaongea nini kwenye msiba wake?

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?

Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.

Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
 
ccm sio mbuzi kama hao wengine.

wale wengine amefariki magufuli wanapost maombolezo eti watu wa kupsombwa.
 
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?

Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.

Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Huyu huyu ambaye hukumu ya kumfunga iko ofisini kwake ndiye atakuwa wa kwanza kumpamba kwa maneno ya kinafiki. Ila hisia zangu zinaniambia atatangulia yeye hata kabla ya hiyo hukumu kusomwa. Tuzidishe dua tu Mungu atajibu tena.
 
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?

Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.

Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
kwani kwa maalim seif wameongea nini siumewaona wameenda ?
 
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?

Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.

Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
CCM wataongea hayohayo ambayo Chadema mnayaongea kwa hayati JPM.
 
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?

Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.

Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Ukiwa CCM unapoteza mshipa wa aibu. Kwa yote waliomtendea Maalim Seif Leo ndo unaowaona wako mstari wa mbele kumfanyia kumbukumbu. Bila kusahau kuwa walimtia hata kizuizini kwa makosa ya kutunga. Ndugu yangu hata kwa msiba wa Mbowe wao ndo watakuwa wasimamizi wa kila kitu.
 
na watalia mbka kamasi ziwatoke! na pengine ukaskia mara yamwisho tuliongea nae alipokuwa pale mluganzila..😁
 
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?

Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.

Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
WATU WANAJITIA KUSWALI .....KUMBE NI MAFARISAYO KABISA......WANAPANGA YA AIBU MCHANA KWEUPE......OVYOOO
 
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?

Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.

Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Mmh kumbe Mbowe alikuwa anafuga Mbogo? Mmh naona kesi zinaongezeka. Huu ni ushahidi mpya.
 
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?

Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.

Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Billcanas alikua amepanga NHC akawa halipi kodi na malimbikizo kibao ulitaka wamchekee......Shamba lake hai alipanda pembeni ya chanzo cha maji kinyume na sheria ya uhifadhi ulitaka aendelee kuachwa anaharibu mazingira....wote waliokua wanakwepa kodi akaunti zao zilikua zinapigwa Stop....AKIFA ITASOMWA RISALA NA KUFUKIA FULL STOP.
 
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?

Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.

Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
KAZI YA MUNGU NI SAHIHI HAINA MAKOSA
 
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?

Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.

Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Edit hapo kwenye billicanas haikuwa yake alikuwa mpangaji Tu jengo ni Mali ya nhc huwezi ukasema walimvunjia huu ni upotoshaji pili mbowe na maalim seif na vitu viwili tofauti seif ni jabali la siasa lazima CCM imsifie huwezi kumfananisha na panya WA kisiasa mbowe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom