Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari...
17 Reactions
28 Replies
3K Views
Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani...
34 Reactions
104 Replies
12K Views
Baada ya kupata wasaa wa kutosha kuzisikiliza hoja zote kutoka Maria Space aliyojumuika pia Mh. CJ: Jaji Mkuu alijumuika Maria Space Dec.20 Yafuatao ni maoni yangu: 1. Kwa weledi, ufahamu na...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Naomba nitumie jukwaa la JF kuelezwa Jambo ambalo Watumishi wengi hasa wa Umma awalizungumzi ila Kwa anayefuatilia taratibu za kesi zilizofunguliwa 2015 watakubaliana na Mimi kwamba Watu waliteswa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA...
47 Reactions
114 Replies
12K Views
Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy. Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya...
9 Reactions
59 Replies
8K Views
James Mbatia: Haikuwa kazi rahisi tulipoamua kuanza kuandaa makongamano ya mabadiliko ya katiba tukiwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam mwishoni mwa miaka ya 1988 kuelekea 1989 na...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunashuhudia wafuasi wa CHADEMA humu mitandaoni wakiwa na imani kubwa sana na chama chao huku wakiwaamini viongozi wao mithili ya miungu watu kwamba eti tukiwapa ridhaa ya kuongoza nchi basi...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini. TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM...
19 Reactions
54 Replies
4K Views
Enzi za Dk Slaa Chadema yetu ilikuwa na heshima kubwa kwenye jamii yetu kama chama cha ukombozi ambacho kinapinga ufisadi na maonevu ya kila namna. Happa kati tulipoteza muelekeo na kuyumba...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari amesema Magufuli HAKUWAMALIZA WAHUNI WOTE , kwamba kumbe kulikuwa na mkakati maalum wa kuwamaliza Wahuni , sasa huyu anayetamka haya alikuwa...
30 Reactions
138 Replies
10K Views
Ukweli, haki, nia, dhamira nk, havijifichi: Sikiliza wanasiasa wote Samia, Majaliwa, Mbowe, Zitto, Lissu, Lipumba nk. Wasikilize kina Ndugai, Kabudi, Msukuma, Polepole, Bulembo, Nape nk Ni...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Kama wana CCM kindakindaki, lini tutapewa taarifa ya uhakiki wa Mali za chama nchi nzima? Bashiru na Chalamila walifanya kazi nzuri hadi Mkiti akawashukuru kwanafasi mbalimbali. Je, haki yetu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka kwa Mamlaka ya Uteuzi . Dr Mukangara alikuwa Mwenyekiti wa bodi ya TBS , na uteuzi wake umetenguliwa leo 23/12/2021 . Chanzo : Muungwana Blog ======
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii sera ya kulinda viwanda vya ndani imekuja kua mzigo kwa wananchi tena mzigo mzito sana, sijajua kama walioweka sera hii walijua nini kitatokea mbele lakini naona kabisa tunakoelekea tunaenda...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna vitu vitatu kwa haraka naviona vinamsaidia Rais wa Zenji. Mosi Elimu yake, hapa sizungumziii Udakitari wake, nazungumzia kusoma Bara hasa kusoma karibu na Aza Boy, kwa maana ya Tambaza...
1 Reactions
3 Replies
630 Views
Wakati Ujerumani imegawanyika magharibi na mashariki, Ujerumani Mashariki ilishikilia sana hii sera ya protectionism(kulinda viwanda vya ndani). Bidhaa nyingi hazikuruhusiwa kuagizwa toka nje ya...
22 Reactions
48 Replies
3K Views
Je CCM haioni tatizo juu ya hizi kauli mbili za mbunge wao 1. Kumwita mwenyekiti mstaafu Godfather 2. Kusema chama kina wenyewe Hizi kauli hazina maadili na zinaonyesha dharau kubwa sana kwa...
13 Reactions
35 Replies
3K Views
Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa...
77 Reactions
2K Replies
158K Views
Iko recorded katika hoja zilizoongelewa katika Maria Space Dec. 20. Katika maelfu ya wajumbe ya waliokuwapo, Mh. Jaji Mkuu naye alikuwa katika mahudhurio. Kwamba katika maazimio, umuhimu wa...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom