Jaji Mkuu alijumuika Maria Space Dec.20

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,824
35,822
Iko recorded katika hoja zilizoongelewa katika Maria Space Dec. 20.

Katika maelfu ya wajumbe ya waliokuwapo, Mh. Jaji Mkuu naye alikuwa katika mahudhurio.

Kwamba katika maazimio, umuhimu wa kuwahusisha wananchi kwenye kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ulizingatiwa mno:

"Kwa uhakika ujumbe utakuwa umefika kote kunako husika (ikiwapendeza) kwa mustakabala mwema wa taifa hili."

----
Source:
 
Nampenda na kumheshimu Shangazi Maria hadi naumwa🥰

Shangazi endelea kupiga hao Mbwa hadi watoke mvunguni wote.

Endelea kupiga hadi Mbwa Chifu Hangaya nae atoke mvunguni.
FGtddG4XwAQv5fc.jpg
 
Kwenye vitabu vipya vya mashujaa wa nchi hii majina ya watu kama huyu yataandikwa mle kwa maandishi ya dhahabu.
Itakua poa km akitungiwa nyimbo na mwimbaj awe Mondi, Kiba, Zuchu au Konde boy kwa njia hii atafahamika na kila rika na mchango wake utajulikana bongo nzima hiyo ya kuandikwa kwenye vitabu ataishia kujulikana na wanafunz ili wajibie mitihan wakimaliza wanaachana nae
 
Wakumchukia huyu shangazi? Huyo si ndiye mchawi mwenyewe sasa?
Msimtukane siku akianza mapambio, maana kama leo hii Slaa anaitwa Dr. Kasava basi Maria kupewa jina lolote lile itakuwa jambo rahisi sana
 
Tuna agenda za kudumu si marafiki wa kudumu. Agenda zilizopo ni za wazi:

"Haki, usawa, uhuru na demokrasia."

Ukiamini kwenye hizo, karibu. Ukishindwa yoyote katika hapo, kwa heri.

Hatujuti kwa yeyote kuja au kuondoka kwa ridhaa yake.

Hadi leo hamuelewi tu?
 
Iko recorded katika hoja zilizoongelewa katika Maria Space Dec. 20.

Katika maelfu ya wajumbe ya waliokuwapo, Mh. Jaji Mkuu naye alikuwa katika mahudhurio.

Kwamba katika maazimio, umuhimu wa kuwahusisha wananchi kwenye kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ulizingatiwa mno:

"Kwa uhakika ujumbe utakuwa umefika kote kunako husika (ikiwapendeza) kwa mustakabala mwema wa taifa hili."

----
Source:

Daaah! Niliikosaje hii?
 
ila jamaniTL ana madini sana. Huyu jamaa ni exceptional
 
Back
Top Bottom