Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 10,087
- 17,124
Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini.
TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM wasingeweza kupata zaidi ya 30% kama uchaguzi Mkuu ungefanywa kwa haki.
Kwa kuogopa hilo na huku akijua kuwa uchaguzi wa 2015 nao Edward Lowassa alimshinda, ila TISS kupitia Kapilimba akiwa NEC enzi hizo na Team ya Kinana na Nape na Januari Makamba wakiwa Masaki ndiyo walioiba kura kwenye mtandao na kumfanya aonekane ameshinda.
This time October 2020, Magufuli aliamua kuiba kura kupitia TISS, Police na NEC kwa kuchapisha kura FEKI pale Jamana Printers. Then vijana wakawka Kambi pale Mbweni kwa ajili ya ku-tick. Na DSOs wakatumika kutumbukiza kura hizo kwenye masanduku ya kura.
Magufuli alijua kama zingehesabiwa moja moja hata ule wizi wa mtandao usingeweza kuiba kiasi anachotakiwa kumpita Lissu.
Itoshe kusema kisiasa CCM inachukiwa sana na wananchi kwa matendo maovu ya Magufuli ya miaka 5 iliyopita hususan;
-Kumpiga Lissu risasi akiwa bungeni
- Kubomoa nyumba za wananchi wa ubungo kupisha barabara bila kuwafidia
-Kuwa na kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya MAKONDA kilichokuwa kinateka na kuua watu

- Kuwatoa wafanyakazi wa "vyeti feki" huku yeye mwenyewe Magufuli akiwa na PhD feki na Makonda wakiwa na vyeti feki
- Kutotoa nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi
- Kupeleka miundombinu mikubwa kwao Chato
- Kukataa wazi wazi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na UPINZANI