CCM na uhakiki wa mali za chama

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Kama wana CCM kindakindaki, lini tutapewa taarifa ya uhakiki wa Mali za chama nchi nzima? Bashiru na Chalamila walifanya kazi nzuri hadi Mkiti akawashukuru kwanafasi mbalimbali.

Je, haki yetu kama Wanachama tunapataje taarifa?
 
Ripoti iwekwe wazi

Mama Samia mwenyekiti CCM taifa weka hiyo ripoti wazi usisubiri 2025 tutaidai Kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom