Yuko wapi Dkt. Vincent Mashinji?

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy.

Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya nyungu ambayo Kigwaboy alitaka ipasuliwe?

Yu wapi Mashinji?
 
Mambo yamekwama
images (42).jpeg
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Dokta wa Binadamu Bali ni PhD holder
 
Dr slaa na dr mkumbo waliondoka chadema, sa ulitaka dr mashinji abaki huko kufanya nini wakati madr wenzake walisepa mapema?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom