Sina mengi ,kwanza niwasalimu, wanajf popote mlipo, KILA mmoja KWa imani yake.
Pili niende kwenye mada moja kwa moja
Tanzania tunavyama vingi Kama sio utitiri vinanvyo simamia taaluma flani...
Mifumo yetu yote yakijasusi na kiraia imekosa au imepungukiwa watu wenye akili na kukaliwa na watu wenye nguvu. Watu wenye akili hata wakizeeka au kuugua still wanaweza kutoa strategies...
Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo...
Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu...
Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT
Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa...
Wanatajwa wengi tu kwamba wako mbioni kurejea Chadema baada ya mbeleko waliyoitegemea kukatika
Inasemekana wenye chama hawataki uchotara wanataka kuirudisha CCM katika misingi yake ndiposa...
Kila kona waelewa wote wanataka iwepo tume huru ya uchaguzi, yamesemwa hata na wana CCM wakongwe na wenye heshima zao ndani ya nchi.
Kuna wakati hata Rais wetu alikemea mambo fulani yaliyofanywa...
Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti...
Siku ya kumbukumbu ya uhuru wiki juzi mwanajeshi mmoja alikuwa anafafanua gwaride na mambo ya kijeshi.
Kuhusu saluti za mizinga alisema rais anapigiwa mizinga 21, makamu wa rais na waziri mkuu...
Yaani ukiambiwa kuna ugonjwa unaosumbua baadhi ya watanzania hasa wanaccm ni kutamini kua nchi iko katika seasoni mpya kabisa, tena ni ugonjwa mbaya huu zaidi kuliko hata UVIKO-19.
Tuna binadamu...
Leo nmeona wale walioanza kuandaa makundi ya kugombea uraisi mwaka 2025 wanaonywa.
Kwa habari nyepesi nyepesi ni kuwa wamedukuliwa wakiwa wanajadili jinsi ya kupindua meza, wapindue wasipindue...
Hata vyuo viliathirika sana Na covid 19, vyuo binafsi ndio kabisaaa! Pesa tulizopata za kupunguza athali za corona zisiishie kupanua madarasa shule za msingi Na secondary tu, Bali ziende hadi...
"Kazi ya jeshi ni kungangamara Mura'' ni kauli ya rafiki yangu tulie soma pamoja miaka kumi na minane imepita Sasa.
Rafiki yangu alipata bahati ya kujiunga na jeshi la polisi enzi hizo tumemaliza...
Kaandika hivi kupitia twitter:
"Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda...
Naombeni kwa wenye uelewa muweze kunijuza. Hivi kwa Mimi mwananchi wa kawaida (hohehahe) nikitaka kuonana na mkuu wa nchi natakiwa kufuata taratibu zipi ili nimfikie!
Hususani Kama Nina Jambo la...
Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma...
Wadau wapendao Utukufu kwa Mungu juu na AMAN dunian tuangalie mabadiliko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yatakayotokana na nchi kubwa yenye migogoro ya muda mrefu na siasa ngumu zenye mkono wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.