Wahuni ambao Hayati Magufuli hakuwamaliza kama anavyosema Humphrey Polepole ni akina nani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,003
Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari amesema Magufuli HAKUWAMALIZA WAHUNI WOTE , kwamba kumbe kulikuwa na mkakati maalum wa kuwamaliza Wahuni , sasa huyu anayetamka haya alikuwa katibu mwenezi wa ccm , huyu ni miongoni mwa wasaidizi wa karibu kabisa wa Magufuli ambaye alikuwa Mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tanzania .

Maswali yangu ni machache tu , hivi hawa wanaoitwa wahuni ni akina nani ? ni nani alithibitisha uhuni wao na kwa kutumia vigezo gani , Wangapi walimalizwa , na walimalizwaje , mabaki yao yamehifadhiwa wapi na ni akina nani , na wangapi wamebaki na ni akina nani waliponaponaje ?

Leo nimegundua Polepole ni mtu muhimu sana kwa ushahidi huko tuendako .
 
Acheni hivi kwann mnafuatilia Polepole Kila akiongea nyie mnatia chumvi
 
Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari amesema Magufuli HAKUWAMALIZA WAHUNI WOTE , kwamba kumbe kulikuwa na mkakati maalum wa kuwamaliza Wahuni , sasa huyu anayetamka haya alikuwa katibu mwenezi wa ccm , huyu ni miongoni mwa wasaidizi wa karibu kabisa wa Magufuli ambaye alikuwa Mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tanzania .

Maswali yangu ni machache tu , hivi hawa wanaoitwa wahuni ni akina nani ? ni nani alithibitisha uhuni wao na kwa kutumia vigezo gani , Wangapi walimalizwa , na walimalizwaje , mabaki yao yamehifadhiwa wapi na ni akina nani , na wangapi wamebaki na ni akina nani waliponaponaje ?

Leo nimegundua Polepole ni mtu muhimu sana kwa ushahidi huko tuendako .
Acha ujuaji kamuulize polepole sio kuanzisha uzi
 
Hivi CCM imepata ' Mbadala Wake'.. ! Maana ni Kama Media Zote Attention Yote Ni Kwake tu.
Chochote Atachosema ndo Unakuwa Mjadala..!
Ilivyo Yeye ni MTz na hayo ni Maoni tu.... !
Enyi wana Habari ,Mwanahabari Mwenzenu ni Mtu Anaitwa Shaka, Embu tegeni Kamera Zenu Kwake.....! Mnapoacha Kumpaisha Shaka mnamuweka Mama Kwenye Wakati Mgumu.
Achaneni Polepole...!
Au Mnapeleka Ujumbe kuwa Hatoshi Viatu Vimekuwa Vikubwa?
 
Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari amesema Magufuli HAKUWAMALIZA WAHUNI WOTE , kwamba kumbe kulikuwa na mkakati maalum wa kuwamaliza Wahuni , sasa huyu anayetamka haya alikuwa katibu mwenezi wa ccm , huyu ni miongoni mwa wasaidizi wa karibu kabisa wa Magufuli ambaye alikuwa Mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tanzania .

Maswali yangu ni machache tu , hivi hawa wanaoitwa wahuni ni akina nani ? ni nani alithibitisha uhuni wao na kwa kutumia vigezo gani , Wangapi walimalizwa , na walimalizwaje , mabaki yao yamehifadhiwa wapi na ni akina nani , na wangapi wamebaki na ni akina nani waliponaponaje ?

Leo nimegundua Polepole ni mtu muhimu sana kwa ushahidi huko tuendako .
Chagadema mnawaza kesi kesi tu.
Polepole ameiongelea taasisi yake ya CCM na sio NGO yenu.

Mnawashwa nini jamani?

Wahuni wanajulikana na ndio hawa kina Kigogo2014 wanaotusumbua sasa hivi.

Mleta mada unawaza Kesi na Visasi tu.

Je huoni madhara yake yanavyomsotesha mfalme wenu Faru John?

Acheni kulitafutia taifa ujinga
 
Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari amesema Magufuli HAKUWAMALIZA WAHUNI WOTE , kwamba kumbe kulikuwa na mkakati maalum wa kuwamaliza Wahuni , sasa huyu anayetamka haya alikuwa katibu mwenezi wa ccm , huyu ni miongoni mwa wasaidizi wa karibu kabisa wa Magufuli ambaye alikuwa Mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tanzania .

Maswali yangu ni machache tu , hivi hawa wanaoitwa wahuni ni akina nani ? ni nani alithibitisha uhuni wao na kwa kutumia vigezo gani , Wangapi walimalizwa , na walimalizwaje , mabaki yao yamehifadhiwa wapi na ni akina nani , na wangapi wamebaki na ni akina nani waliponaponaje ?

Leo nimegundua Polepole ni mtu muhimu sana kwa ushahidi huko tuendako .
Kajiingiza mwenyewe muda UTAONGEA..
 
Makamba, Nape , Lisu ,Lema etc
 
Anaita wenzake wahuni bila shaka y yeye ni kiongozi wao

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom