Dr Fenella Mukangara aondolewa TBS

Dr Fenella Mukangara aondolewa TBS

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,625
Reaction score
290,296
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka kwa Mamlaka ya Uteuzi .

Dr Mukangara alikuwa Mwenyekiti wa bodi ya TBS , na uteuzi wake umetenguliwa leo 23/12/2021 .

Chanzo : Muungwana Blog


======
View attachment 2054841
 
Tunamshukuru kwa utumishi wake...

Apumzike tena na kula mafao yake ya taaluma na siasa kwani ana umri wa miaka 65 sasa....

#Siempre JMT
 
UTEUZI...%0A%40ikulu_mawasiliano_%0A%40samia_suluhu_hassan_%0A%23MtanzaniaDigital.jpg
 
Back
Top Bottom