Kama Serikali ina ubavu wa kupambana na Rushwa ya ngono, waende pale Tanga

JET SALLI

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
1,991
1,193
Ukiona watu kama GWAKISA bado wako ofisini ndio maana Kuna wakati unaona wazi KABISA CCM kweli imeshindwa kuongoza hv kweli serikali makini inaweza kuwa inatembea na mla Rushwa?

Hivi mtumishi asiye na MAADILI, adabu wala nidhamu ni wa kutumikia umma wa watanzania? Huyo bwana Gwakisa tumesikia alikuwa Manispaa ya Sumbawanga akafanya upumbavu wake pale Sumbawanga Rushwa na kila aina ya ujinga akahamishiwa Muheza Tanga na kwa tabia ya CCM huyu eti bado ni mtumishi mzuri, watu kama hawa wenye rekodi chafu ilipendeza sana kuwafyekelea mbali ili kuisafisha serikali.

Nchi kwa sasa ina wasomi wengi halafu eti inaendelea kufuga wapumbavu maofisini hii haikubaliki hata kidogo.
 
Rushwa ya ngono iondolewe ktk aina za rushwa. Kwasabb mtoaji ananufaika mara tatu ukilinganisha na mpokeaji.

Wakati mpokeaji anapata uroda tu, mtoaji anapata bahati ya kupelekea hotel, anapewa uroda na anapewa kazi pia.

Huko nyuma mtoaji aliwahi kuwapa akina fododio kwa sabb ya lift ya baskeli tu, lkn leo anapelekwa hotel, anapewa uroda na kazi juu.
 
Huyu bwana yupo hapa Tanga nimemfuatilia sana jamaa ni mchafu sio kidogo ni wa kasi kubwa na serikali hii ya CCM yaani ni kama huwa inawatuma watu kufanya ujinga wa namna hii kwa sababu jamaa hajifichi na anaonekana ni mzoefu,nimemfuatilia alikuwa Kule Sumbawanga alisumbua sana na inaonekana kule Sumbawanga alifanya vitu viwili kwa pamoja yaani ukabila,pamoja na ngono maana nasikia aligeuza ofisi ya serikali kuwa ya kabila lake.

Ngono kwa mwendo kasi wadada walimu walipata taabu sana na kwa kweli dada zetu wanateseka sana si kwenye ofisi za Umma wala vyuoni hawako salama ni mateso matupu na hili suala Serikali ya CCM imeshindwa kabisa kulisimamia kwa sababu huwezi kumuhamisha mtu aliyefanya vitendo vya kipumbavu sehemu moja na kumpeleka sehemu nyingine na ukamuacha kwenye ofisi ileile.

Hayo ndio mambo ya serikali ya CCM,ndio maana hata huyu Gwakisa Lusajo hapa kwetu Mkoani Tanga anaendeleza ufalme wake kwa sababu hakuona hatua yoyote iliyochukuliwa juu yake.

Serikali isidhani watanzania hawaoni ila wanaishangaa Serikali yao isivyojielewa.Huko nyuma maadili,heshima,adabu,nidhamu,utii na weredi ndio zilikuwa sifa za kufanya kazi katika sekta ya Umma, Lakini Leo hii serikali inatembea na mtu wa hovyo inamtoa hapa inampeleka sehemu nyingine ili akaendeleze uovu wake na mifano ya sample za akina Gwakisa iko mingi ndani ya serikali hii ya CCM.Labda itoshe kusema kwamba serikali isiyo na maadili haiwezi kushughulikia wasio na maadili.
 
Ukiona watu kama GWAKISA LUSAJO bado wako ofisini ndio maana Kuna wakati unaona wazi KABISA CCM kweli imeshindwa kuongoza hv kweli serikali makini inaweza kuwa inatembea na mla Rushwa...
Bro kuna karma. Acha majungu. Haya mambo yatakurudia. Moderator si sahihi kuweka majina ya watu kwa vitu ambavyo havijathibitishwa.
 
Ukiona watu kama GWAKISA LUSAJO bado wako ofisini ndio maana Kuna wakati unaona wazi KABISA CCM kweli imeshindwa kuongoza hv kweli serikali makini inaweza kuwa inatembea na mla Rushwa...
Sasa watanga mnamshindwa msumbawanga kweli?? Kweli kabisa?
 
Ukiona watu kama GWAKISA LUSAJO bado wako ofisini ndio maana Kuna wakati unaona wazi KABISA CCM kweli imeshindwa kuongoza hv kweli serikali makini inaweza kuwa inatembea na mla Rushwa?...
Eleza huko Tanga huyo Gwakisa anafanya kazi gani Serikalini na hiyo rushwa ya ngono mtoaji (mwanake) analipwa nini baada hapo? Hela, kazi, kupandishwa daraja, kibarua, mtaji wa biashara, kununuliwa gari, kujengewa nyumba, ada ya chuo etc etc?
 
Hao anaowanyanyasa kingono kwa nini wapo kimya au jamaa ana mkono mrefu?
 
Back
Top Bottom