Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,978
6,782
Sina mengi ,kwanza niwasalimu, wanajf popote mlipo, KILA mmoja KWa imani yake.

Pili niende kwenye mada moja kwa moja

Tanzania tunavyama vingi Kama sio utitiri vinanvyo simamia taaluma flani flani ,nk, ila leo nimejikita KWa Hawa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA (MCT).

Binafsi Kama baba na mlezi ambae nimepitia Iyo taaluma na kusonga mbele, ningependa ( MCT) mnipe majibu.

Taaluma manayosimamia najua mnaijua vizuri,ndo maana mpo apo,mnajua pamoja na intern inachukua miaka sita shule kumalizika ,inayojumlisha mafunzo ya vitendo na theory ilo Sina shaka kabisa kwamba hamjui.

Enzi zetu hatukua na post intern exam, japo ni hivi karibuni mlianzisha ,binafsi Sina shida na Hili ,WENDA lego lenu nikumpima uyu Dr nini amejifunza zaidi, japo sion logic yoyote ,kwani alipo kule si ana waangalizi wake kwenye hospital aliyopo, Sasa unampa mtiani umemfundisha nini badala ya mtiani kupewa pale Hospital alipofanyia intern.

NAOMBA JIBUN ILI PIA
Hamjatosheka Sasa nasikia mmekuja na kitu kinaitwa pre intern Exam , kwamba vijana wamemaliza masomo ya miaka mitano, walim wao ,vyuo vimejiridhisha kwamba wako vizuri na wamefaulu nyie ndo ,mwajifanya kutoamini vyuo vyao, walim wao ,kwamba mnatoa mtiani wa kuwapima tena Ili waende intern, ebo nyie vipi ,kuzalisha ukiritimba mpaka kwenye maisha ya watu,
Nyie mlioko hapo na kugawana posho mlifanyiwa hivi?

1.Sasa toeni majibu Iyo pre intern exam KWa awa vijana impact yake ni ipi, ?

2.Alafu naomba mtueleze KWa uwazi majukum yunu yawe wazi msije kua mnaingilia mpaka KAZI za TCU, maana nimeona kijana wangu KILA kukicha anaomba pesa ,nikiuliza ya nini naenda kuverify vyet vya form 4, 6, Ili nitume maombi MCT Ili kufanya mtiani

Swali
KWa Iyo nyie mmejigeuza TCU iliyomdahili uyu mwanafunzi kwenye chuo chake, akapata na mkopo bord, asilimia 100, leo wewe unataka vyeti vya nyuma Ili iweje?
2. Awa vijana mnaowachelewesha KWa ukiritimba tu ,badala waende intern wamalize wapate pa kujiegesha, Ili kuanza angalau rejesha pesa walizokopa ,Ili iwasaidie vijana wengine ,je mnaona mnawatendea haki watanzania ,na Kama sivyo KWa nini muendelee kalia viti hivyo

Mwisho naomba MCT mlete majibu live , vinginevyo nitajua Kuna kitu nyuma ya pazia ambacho mnapitia mlango wa nyuma kukifanikisha KWa malengo YENU,
Tambua nyie MCT Serikali imewekeza Sio chini ya m30 KWa KILA kijana anzia mwaka wa KWANZA ,leo mwaja na Mambo ya kienyeji ,
 
Sina mengi ,kwanza niwasalimu, wanajf popote mlipo, KILA mmoja KWa imani yake.

Pili niende kwenye mada moja kwa moja

Tanzania tunavyama vingi Kama sio utitiri vinanvyo simamia taaluma flani flani ,nk, ila leo nimejikite KWa Hawa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA(MCT)

Binafsi Kama baba na mlezi ambae nimepitia Iyo taaluma na kusonga mbele, ningependa ( MCT) mnipe majibu ,

Taaluma manayosimamia najua mnaijua vizuri,ndo maana mpo apo,mnajua pamoja na intern inachukua miaka sita shule kumalizika ,inayojumlisha mafunzo ya vitendo na theory ilo Sina shaka kabisa kwamba hamjui

Enzi zetu hatukua na post intern exam, japo ni hivi karibuni mlianzisha ,binafsi Sina shida na Hili ,WENDA lego lenu nikumpima uyu Dr nini amejifunza zaidi, japo sion logic yoyote ,kwani alipo kule si ana waangalizi wake kwenye hospital aliyopo, Sasa unampa mtiani umemfundisha nini badala ya mtiani kupewa pale Hospital alipofanyia intern,
NAOMBA JIBUN ILI PIA

Hamjatosheka Sasa nasikia mmekuja na kitu kinaitwa pre intern Exam , kwamba vijana wamemaliza masomo ya miaka mitano, walim wao ,vyuo vimejiridhisha kwamba wako vizuri na wamefaulu nyie ndo ,mwajifanya kutoamini vyuo vyao, walim wao ,kwamba mnatoa mtiani wa kuwapima tena Ili waende intern, ebo nyie vipi ,kuzalisha ukiritimba mpaka kwenye maisha ya watu,
Nyie mlioko hapo na kugawana posho mlifanyiwa hivi?

1.Sasa toeni majibu Iyo pre intern exam KWa awa vijana impact yake ni ipi, ?

2.Alafu naomba mtueleze KWa uwazi majukum yunu yawe wazi msije kua mnaingilia mpaka KAZI za TCU, maana nimeona kijana wangu KILA kukicha anaomba pesa ,nikiuliza ya nini naenda kuverify vyet vya form 4, 6, Ili nitume maombi MCT Ili kufanya mtiani

Swali
KWa Iyo nyie mmejigeuza TCU iliyomdahili uyu mwanafunzi kwenye chuo chake, akapata na mkopo bord, asilimia 100, leo wewe unataka vyeti vya nyuma Ili iweje?
2. Awa vijana mnaowachelewesha KWa ukiritimba tu ,badala waende intern wamalize wapate pa kujiegesha, Ili nakuanza angalau rejesha pesa walizokopa ,Ili iwasaidie vijana wengine ,je mnaona mnawatendea haki watanzania ,na Kama sivyo KWa nini muendelee kalia viti hivyo

Mwisho naomba MCT mlete maji live , vinginevyo nitajua Kuna kitu nyuma ya pazia ambacho mnapitia mlango wa nyuma kukifanikisha KWa malengo YENU
Mkuu hao shida yao ni kupata mapato tu.
 
Sina mengi ,kwanza niwasalimu, wanajf popote mlipo, KILA mmoja KWa imani yake.

Pili niende kwenye mada moja kwa moja...
Kwa hiyo unataka useme Law School nayo ifutwe? Si walishafaulu chuoni?

Post zako zinaonesha umetoka vyuo vile vya kubebwa bebwa. Kama mko vizuri mnaogopa nini? Kama hamjui hata sheria zinazosimamia mabaraza yenu, mtajua kutibu?

Mwandiko wenyewe taabu tupu. Mtakuja kuua watanzania nyie. Tena wawape mitihani migumu, siku hizi mnachomekwa na wazazi wenu vyuoni hata kama hamna sifa. Ukifeli nenda kwenye NGOs.

Sina mengi ,kwanza niwasalimu, wanajf popote mlipo, KILA mmoja KWa imani yake.

Pili niende kwenye mada moja kwa moja...
Tena waongezewe na mid interm exam, hivi wajua mtoa mada kuwa siku hizi kuna MD vilaza? Tena wengi mno, wamekuwa lecerned na MCT lakini wakija in ground bora hata CA, tena wakikaa mwaka wakajua jua hata ku circumcise wana anza dharau na kuyataka madaraka.... Wapigwe tu hakuna namna na alie feli arudi tu 1st year hakuna namna
 
Mkuu nowdays kumekua na UZALISHWAJI wa MDs ambao hawawezi kazi.. yan inasikitisha.

Nadhani wameweka hivyo ili kuchuja chuja makapi.

Ndiyo maana siku hizi COs na CAs nao wanatakiwa wawe na leseni ingawa mitihani bado haijaanza.
 
Tena waongezewe na mid interm exam, hivi wajua mtoa mada kuwa siku hizi kuna MD vilaza? Tena wengi mno, wamekuwa lecerned na MCT lakini wakija in ground bora hata CA, tena wakikaa mwaka wakajua jua hata ku circumcise wana anza dharau na kuyataka madaraka.... Wapigwe tu hakuna namna na alie feli arudi tu 1st year hakuna namna
Umemaliza kabisa
 
CPA inasomwa baada ya mtu kupata degree yake na ana gamba lake zuri tuu...

Uwakili unasomwa tayari watu wana magamba yao mkononi...

Anyway, mzee wangu iko hivii, duniani kote kada zinazohitaji "LESENI" ili uweze kupractice including kozi zote za afya ni lazima wafanye mtihani kabla hawajapewa leseni.

Hii nchini mwetu haikwepo na ilikuwa na negative impact kubwa sana kwenye taaluma na ilikuwa ukienda kupractice nje ya nchi wanashangaa sana inakuwaje mabaraza ya taaluma Tanzania (Madaktari, Wauguzi, wafamasia, Maabara) yanatoa leseni bila mitihani?

Ndipo miaka ya karibuni michakato ya kufanya mitihani kabla ya kupata leseni ikaanza. Mwanzo hata mimi nilikuwa napinga sana lakini nilipokuwa michakato flani flani ndipo nikaja kuelewa umuhimu wa mtihani wa leseni.

Uzuri wa hii mitihani ni kwamba sio kwamba ukifeli unanyang'anywa degree yako, hapana. Unaruhusiwa kufanya mara nyingi uwezavyo mpaka utakapofaulu. Hivyo mimi sioni ubaya wa hii kitu.

Mabaraza mengine mfano lile la wauguzi (TNMC) wameleta na mfumo mwingine extra wa CPD (Continuing Profesional Development), ambapo ukishapata leseni huwezi kui-renew mpaka uwe umepitia training mbalimbali na kujikusanyia points kadhaa ambazo wanajua wao calculations zao. Na hivi ndivyo standard za kimataifa zilivyo.

Hivyo mkuu vumilia tuu, mwanza ni mgumu lkn mbeleni vijana wataelewa tuu.
 
Back
Top Bottom