MAMA KAMA MAMA

MAMA KAMA MAMA

LAPSE RATE

Senior Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
120
Reaction score
147
MAMA ANAUPIGA MWINGI SANA ENEO HILI LA WATUMISHI.

Na Thadei Ole Mushi.

Serikali imeanza kulipa madeni kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ili Wastaafu wasisumbuke kupata stahiki zao na tayari Trilion 2.17 zimelipwa Leo.

Humphrey Polepole hebu njoo utuambie ni kina nani walikopa huu mshahara wa Mtumishi wa Umma ambaye ni mnyonge wa Taifa hili. Huenda Hawa ndio wahuni wenyewe. Wastaafu wengi Sana wamefariki bila kupata Mafao yao. Ni kina nani ambao hawakupnadisha Madaraja ya Watumishi Kwa Miaka Mitano Mfululizo?

Kuna watu wanapenda kukurupuka kuwa mbona kipindi Cha JPM hukusema hakuna jambo ambalo nimelisema Sasa ambalo sikuwahi kulisemea. Fuata Link kabla ya kukurupuka huko Sengerema ndani ndani...



Huku ndio kuupiga Mwingi.

Ole Mushi
0712702602.
 
Bint suluhu mwenyewe
Screenshot_20211224-200640.jpg
 
Wahuni hawakupandisha madaraja ya watumishi, waliikopa mifuko ya hifadhi ya jamii bika kulipa, waliviua vyama vya wafanyakazi visihoji ufisadi, wahuni hawa, Sasa akili inawarudia, watubu kwani wamewatesa watanzania
 
Back
Top Bottom