Humprey Polepole na Genge lako mtakwama sana, hamuwezi kushindana na dola.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kuna sababu nyingi sana za kuwaambia kua mtakwama sana kukivuruga chama na serikali, sababu kuu ni hizi;

1.Ninyi ni wageni kwenye chama hamjui historia na itikadi za chama nyie.
2.Mmejaa visasi na roho mbaya
3.Dola ni kubwa kuliko kikundi chenu
4.Chama ni kikubwa kuliko nyie
5.Kuna wakati ni muhimu kukilinda chama kuliko watu watakaopita ambao wengine huenda wamesajiliwa kwingine.

Kwahiyo hamuwezi kushindana na mtu na wala kama mna mtazamo hasi na viongozi wa chama na serikali mtaondoka mmoja mmoja baada ya mwingine.
Ninyi ndio mliokuwa mnaendekeza majambazi ndani ya serikali kwa kivuli cha kukisaidia chama, hivi kina Sabaya na kundi lake hawakua wahuni ni kina nani tukuulize wewe inayeita watu wahuni?

Mama Samia .....kazi iendelee!
 
Mkuu ungekinzana na hoja za Pole pole na sio, Pole pole....
 
Yeah Dola ya Kagame na Uhuru Kenyata, lkn Uhuru anaondoka mwakani wanabakia Kagame na Museveni.
 
Kuna sababu nyingi sana za kuwaambia kua mtakwama sana kukivuruga chama na serikali, sababu kuu ni hizi;

1.Ninyi ni wageni kwenye chama hamjui historia na itikadi za chama nyie.
2.Mmejaa visasi na roho mbaya
3.Dola ni kubwa kuliko kikundi chenu
4.Chama ni kikubwa kuliko nyie
5.Kuna wakati ni muhimu kukilinda chama kuliko watu watakaopita ambao wengine huenda wamesajiliwa kwingine.

Kwahiyo hamuwezi kushindana na mtu na wala kama mna mtazamo hasi na viongozi wa chama na serikali mtaondoka mmoja mmoja baada ya mwingine.
Ninyi ndio mliokuwa mnaendekeza majambazi ndani ya serikali kwa kivuli cha kukisaidia chama, hivi kina Sabaya na kundi lake hawakua wahuni ni kina nani tukuulize wewe inayeita watu wahuni?

Mama Samia .....kazi iendelee!
Ninakuona kama:-
1. Ni mmoja wa wahuni kwenye ccm.
2. Umeguswa pahala usipotarajia na sasa ume panic sana.
3. Huna hoja ya kujibu hoja za Polepole na hivyo unapiga yowe kufunika maovu yako.
4. Ni mmoja wa watu wasioenda shule ndani ya ccm kiasi kwamba hujui hata tofauti kati ya chama na dola.
5. Ni mmoja wa wahuni wanaofanya uhuni wakitarajia Serikali itawalinda na ndiyo sababu unalazimisha kuunganisha ccm na serikali ili ziwe kinyume na hoja za Polepole kijinga.
6. Umezoea vya kunyonga sana na sasa unaogopa mafuriko yanayowajilia Wahuni hivyo unataka mob support ili ujichanganye.
7. Unamtumia Mama Samia kama human shield ya kujikinga na nuclear za Polepole kwamba atumie Kiti chake kumkandamiza Polepole bila hoja, ila kwa makelele yako na wahuni wenzako.

Bahati Mbya ni kwamba:-
1. Japo si wote wanasema, lakini Watanzania na Rais wao wanajua keusi ni kapi na keupe ni kapi.
2. Mfa maji akitapatapa ndipo huzama zaidi. Bora jipangeni kwa hoja kulilko kelele za mfa maji.
3. Waambie wahuni wezako kwamba CCm siyo Serikali wala Dola. Kama mmezoea kuendesha uhuni katika Chama kwa matazamio kwamba Serikali itawalinda ama Dola, badilikeni mfahamu kwamba, Polepole na Serikali ikiwemo Dola wanajua mipaka na miundo yao na wala hawajakataa kukosolewa na kurekebishika.

Utakwenda na mafuriko kama utaendelea kuota ndoto za uhuni. Na isitoshe kama wewe si mhuni, unaona shida gani wahuni wakiitwa kwa sifa yao? Kwa hiyo unataka uhuni lifutwe kwenye kamusi?
Jipange kubadilika, la sivyo kampeni na kelele za kihuni, hazina nafasi sasa. Tanzania imeamka.
 
Kuna sababu nyingi sana za kuwaambia kua mtakwama sana kukivuruga chama na serikali, sababu kuu ni hizi;

1.Ninyi ni wageni kwenye chama hamjui historia na itikadi za chama nyie.
2.Mmejaa visasi na roho mbaya
3.Dola ni kubwa kuliko kikundi chenu
4.Chama ni kikubwa kuliko nyie
5.Kuna wakati ni muhimu kukilinda chama kuliko watu watakaopita ambao wengine huenda wamesajiliwa kwingine.

Kwahiyo hamuwezi kushindana na mtu na wala kama mna mtazamo hasi na viongozi wa chama na serikali mtaondoka mmoja mmoja baada ya mwingine.
Ninyi ndio mliokuwa mnaendekeza majambazi ndani ya serikali kwa kivuli cha kukisaidia chama, hivi kina Sabaya na kundi lake hawakua wahuni ni kina nani tukuulize wewe inayeita watu wahuni?

Mama Samia .....kazi iendelee!
Kwani wamefanyaje tena?
 
Wahuni waliuza shule za Umoja wa Wazazi kwa Tsh 70! Tena usiku usiku kulaleki hawa ndiyo wako dola yasasa?
 
Ninakuona kama:-
1. Ni mmoja wa wahuni kwenye ccm.
2. Umeguswa pahala usipotarajia na sasa ume panic sana.
3. Huna hoja ya kujibu hoja za Polepole na hivyo unapiga yowe kufunika maovu yako.
4. Ni mmoja wa watu wasioenda shule ndani ya ccm kiasi kwamba hujui hata tofauti kati ya chama na dola.
5. Ni mmoja wa wahuni wanaofanya uhuni wakitarajia Serikali itawalinda na ndiyo sababu unalazimisha kuunganisha ccm na serikali ili ziwe kinyume na hoja za Polepole kijinga.
6. Umezoea vya kunyonga sana na sasa unaogopa mafuriko yanayowajilia Wahuni hivyo unataka mbo support ili ujichanganye.
7. Unamtumia Mama Samia kama human shield ya kujikinga na nuclear za Polepole kwamba atumie Kiti chake kumkandamiza Polepole bila hoja, ila kwa makelele yako na wahuni wenzako.

Bahati Mbya ni kwamba:-
1. Japo si wote wanasema, lakini Watanzania na Rais wao wanajua keusi ni kapi na keupe ni kapi.
2. Mfa maji akitapatapa ndipo huzama zaidi. Bora jipangeni kwa hoja kulilko kelele za mfa maji.
3. Waambie wahuni wezako kwamba CCm siyo Serikali wala Dola. Kama mmezoea kuendesha uhuni katika Chama kwa matazamio kwamba Serikali itawalinda ama Dola, badilikeni mfahamu kwamba, Polepole na Serikali ikiwemo Dola wanajua mipaka na miundo yao na wala hawajakataa kukosolewa na kurekebishika.

Utakwenda na mafuriko kama utaendelea kuota ndoto za uhuni. Na isitoshe kama wewe si mhuni, unaona shida gani wahuni wakiitwa kwa sifa yao? Kwa hiyo unataka uhuni lifutwe kwenye kamusi?
Jipange kubadilika, la sivyo kampeni na kelele za kihuni, hazina nafasi sasa. Tanzania imeamka.
Hivi wahuni ni kina nani haswa hapo ccm?
 
Kama MAHANJU, na wengine wa aina hiyo. Wanaosema funika kombe mwanaharamu apite, wanaokataa kukosolewa wa kuwajibishwa wanapokuwa wamefanya makosa, wanaotumia serikali na dola kama ngao za kuficha uharifu wao, wanaojimilikisha chama kwa lengo la kufanya uharifu dhidi ya sheria za nchi, wanaotafsiri mambo mazuri kuwa mabaya kwa hila, wanaosaga meno wakisikia mtu mwema anasifiwa, wanaodanganya watu waijue kweli kwa hofu ya kupoteza, wanaoogoa mabadiliko kwa sababu ni waharifu, wanafiki wasiojali maslahi ya umma wala ya ccm, . NI WALE WANAOSEMA NDIO WENYE CHAMA, LAKINI WALIKITEKA NYARA NA KUKIBADILI KUWA CHAMA CHA KIG.AI.ID.
Ni wale wanaoua watu kwenye chaguzi na mengine kama hayo.
 
Kuna sababu nyingi sana za kuwaambia kua mtakwama sana kukivuruga chama na serikali, sababu kuu ni hizi;

1.Ninyi ni wageni kwenye chama hamjui historia na itikadi za chama nyie.
2.Mmejaa visasi na roho mbaya
3.Dola ni kubwa kuliko kikundi chenu
4.Chama ni kikubwa kuliko nyie
5.Kuna wakati ni muhimu kukilinda chama kuliko watu watakaopita ambao wengine huenda wamesajiliwa kwingine.

Kwahiyo hamuwezi kushindana na mtu na wala kama mna mtazamo hasi na viongozi wa chama na serikali mtaondoka mmoja mmoja baada ya mwingine.
Ninyi ndio mliokuwa mnaendekeza majambazi ndani ya serikali kwa kivuli cha kukisaidia chama, hivi kina Sabaya na kundi lake hawakua wahuni ni kina nani tukuulize wewe inayeita watu wahuni?

Mama Samia .....kazi iendelee!
Kiroboto mhuni Polepole aseme ile KY ni ya nini kwenye room yake Dodoma
 
Na dora haiwezi kushindana na nguvu ya umma.
Kama dora haihitaji ushindani basi itekeleze kwa haki na kitofanya uhuni kwa nchi.
#kataa wahuni
 
Ujinga wenu nikudhan mnapambana na Pole pole.

Mambo makubwa aloyafanya Magufuli., ndio mnapambana nayo.

Hamna kiti cha kuwaambia Watanzania pale SGR itakapokwama, Bwawa la Mwalimu Nyerere, na mambo mengineyo makubwa !!.

Mfumo wenyewe imewachoka nakuwajua nyinyi wahuni WAHUNI .

Nchi hii hahitaji siasa zenu za ujanja ujanja, wizi, na kuneemesha matumbo yenu .

Huko tulishatoka, Watanzania wa sasa wana akili, wana Elimu ,sio wale mazwazwa wakuambiwa et Mashine hazikufanyiwa repair !!!.

Endeleeni uhuni WENU.
 
Back
Top Bottom