Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene, usitupotezee Muda!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,681
Reaction score
15,267
Waziri wa mambo ya ndani anajifanya ana tahamaki eti Askofu Mwingira mambo anayosema ni mazito. Anasema serikali wanataka waingize kwenye record. Usijaribu kufukua mashimo marefu kuliko uwezo wako

1. Lissu alipigwa risasi mchana , alitoa mpaka namba za magari yaliyokuwa yanamfuatiliampaka leo hakuna mshitakiwa hata mmoja. Mbona hapa Lissu alisema kila kitu lakini hakuna kinachoendelea
2. Mo alitekwa mkasema eti ni wazambia na wameshikwa mpaka nyumba mkasema mnaijua. Sasa mpaka leo kesi imesikilizwa wapi??

Sababu ya watu kutokuja Polisi ni ukweli kwamba Polisi wenyewe na usalama ndiyo wanafanya maovu sasa huyu Askofu akikupa ile namba ya gari ambalo lilikuwa linamfuatilia lissu mtafanya ufuatiliaji? au ni matisho tena kwa watu wasiseme yaliyo watokea

Badala ya kujaribu kufukua mashimo serikali ijikite kwenye kurekebisha na kuweka imani kwa vitendo. Kwa sasa serikali haina rekodi nzuri kwa wananchi na ndiyo maana watu watamwamini Askofu Mwingira kuliko serikali
 
Askofu Mwingira usitishike fuata nyayo za Ntante Tutu ambaye hakuwaogopa kabisa wanasiasa,kuanzia botha hadi zuma wote aliwapa ukweli wao.
 
Simbachawene atueleze kama kuna polisi wengine zaidi ya hawa makada wa CCM waliopo! Polisi anawezaje kumchukulia bosi wake aliyemwajiri na anayempandisha vyeo!

Tanzania inahitaji Jeshi la polisi lisilo egemea chama cho chote cha siasa. Jeshi lenye kuheshimu katiba na sheria na siyo hili linaloamrishwa na CCM!
 
Ana siri nzito ya kumchafua Rais aonekane mbaya kwa wananchi waliotulia na kumwamini kiongozi wao. Hili ni tatizo la kubakisha masalia katika serikali inayojali watu.
 
Pt hawaaminiki,watambambikia kesi ya uhujumu uchumi na ugaid muda si mrefu
 
Askofu Mwingira usitishike fuata nyayo za Ntante Tutu ambaye hakuwaogopa kabisa wanasiasa,kuanzia botha hadi zuma wote aliwapa ukweli wao.
kuna tofauti sana kati ya Mwingira na Marehemu Tutu ndio maana Tutu alipewa tuzo ya heshima ya NOBEL PRIZE ,Mwingira hata aishi miaka 2090 hawezi kupata hiyo tuzo.
 
Waziri wa mambo ya ndani anajifanya ana tahamaki eti Askofu Mwingira mambo anayosema ni mazito. Anasema serikali wanataka waingize kwenye record. Usijaribu kufukua mashimo marefu kuliko uwezo wako

1. Lissu alipigwa risasi mchana , alitoa mpaka namba za magari yaliyokuwa yanamfuatiliampaka leo hakuna mshitakiwa hata mmoja. Mbona hapa Lissu alisema kila kitu lakini hakuna kinachoendelea
2. Mo alitekwa mkasema eti ni wazambia na wameshikwa mpaka nyumba mkasema mnaijua. Sasa mpaka leo kesi imesikilizwa wapi??

Sababu ya watu kutokuja Polisi ni ukweli kwamba Polisi wenyewe na usalama ndiyo wanafanya maovu sasa huyu Askofu akikupa ile namba ya gari ambalo lilikuwa linamfuatilia lissu mtafanya ufuatiliaji? au ni matisho tena kwa watu wasiseme yaliyo watokea

Badala ya kujaribu kufukua mashimo serikali ijikite kwenye kurekebisha na kuweka imani kwa vitendo. Kwa sasa serikali haina rekodi nzuri kwa wananchi na ndiyo maana watu watamwamini Askofu Mwingira kuliko serikali
Yule kuwadi aka kidampa wao ZZK amesema walisamehana na wauaji. Awataje haraka au lengo lake ni lile lile alilopewa na awamuya nne kudilute hoja kusnitch wapinzani. ZZZ si ndiye aliyekabidhiwa mzigo na kimei pale posta. Huyu ZZK si ndiye alikula pochi kupitia account ya nje.?!!! Beware of this notorious warthog cum snitch!!!!
 
Waziri wa mambo ya ndani anajifanya ana tahamaki eti Askofu Mwingira mambo anayosema ni mazito. Anasema serikali wanataka waingize kwenye record. Usijaribu kufukua mashimo marefu kuliko uwezo wako

1. Lissu alipigwa risasi mchana , alitoa mpaka namba za magari yaliyokuwa yanamfuatiliampaka leo hakuna mshitakiwa hata mmoja. Mbona hapa Lissu alisema kila kitu lakini hakuna kinachoendelea
2. Mo alitekwa mkasema eti ni wazambia na wameshikwa mpaka nyumba mkasema mnaijua. Sasa mpaka leo kesi imesikilizwa wapi??

Sababu ya watu kutokuja Polisi ni ukweli kwamba Polisi wenyewe na usalama ndiyo wanafanya maovu sasa huyu Askofu akikupa ile namba ya gari ambalo lilikuwa linamfuatilia lissu mtafanya ufuatiliaji? au ni matisho tena kwa watu wasiseme yaliyo watokea

Badala ya kujaribu kufukua mashimo serikali ijikite kwenye kurekebisha na kuweka imani kwa vitendo. Kwa sasa serikali haina rekodi nzuri kwa wananchi na ndiyo maana watu watamwamini Askofu Mwingira kuliko serikali

He is an idiot.
 
2. Mo alitekwa mkasema eti ni wazambia na wameshikwa mpaka nyumba mkasema mnaijua. Sasa mpaka leo kesi imesikilizwa wapi??[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Waziri wa michongo kwenye serikali ya michongo
Walichonena/kusema Spika wa bunge na SLOW Slow hakina tofauti na alilosema Mwingira mtumishi wa maono! Hapa tuseme tu ni ufasaha wa tamko au Lugha fasihi.
Hivyo waziri na polisi mlitafakari.

Viongozi wengi wamegeuka kabisa waliyokuwa wanayaamini wakati wa JPM kwa nini hivi.

Katiba mpya na tume huru ndio supu ya Taifa hili tusiyumbishe Dish.

Hakuna Gaidi.
 
kuna tofauti sana kati ya Mwingira na Marehemu Tutu ndio maana Tutu alipewa tuzo ya heshima ya NOBEL PRIZE ,Mwingira hata aishi miaka 2090 hawezi kupata hiyo tuzo.
Du mkuu umeshakua mganga wa kienyeji!Tanzania tuna safari ndefu mno
 
Kwanza policcm wajue Askofu Mwingira sio sawa na Gwajima aisee!
Waziri wa mambo ya ndani anajifanya ana tahamaki eti Askofu Mwingira mambo anayosema ni mazito. Anasema serikali wanataka waingize kwenye record. Usijaribu kufukua mashimo marefu kuliko uwezo wako

1. Lissu alipigwa risasi mchana , alitoa mpaka namba za magari yaliyokuwa yanamfuatiliampaka leo hakuna mshitakiwa hata mmoja. Mbona hapa Lissu alisema kila kitu lakini hakuna kinachoendelea
2. Mo alitekwa mkasema eti ni wazambia na wameshikwa mpaka nyumba mkasema mnaijua. Sasa mpaka leo kesi imesikilizwa wapi??

Sababu ya watu kutokuja Polisi ni ukweli kwamba Polisi wenyewe na usalama ndiyo wanafanya maovu sasa huyu Askofu akikupa ile namba ya gari ambalo lilikuwa linamfua
 
Back
Top Bottom