Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huko ccm mambo siyo huku kwa wananchi hali ni tete Upinzani hii ni fursa ya pekee iliyobaki na ni bahati pekee iliyobaki ya kunyakuwa madaraka 2025 Upinzani acheni uchu wa madaraka unganeni...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Ukweli utapigwa kwa uongo wa kutungwa wana macho ila hawataona wana masikio ila hawatasikia Hivi nyie vijana wa kitanzania mmewahi kufikiria ya kuwa hawa waliopo madarakani baada ya miaka 20...
0 Reactions
3 Replies
460 Views
Elimu haina mwisho na hekima ni kujifunza kutoka kwa wengine: Kutokuwa tayari kujifunza ni kuyakumbatia mawazo mgando: Yetu ni madai ya uwepo wa haki, usawa, uhuru na demokrasia. Kila...
1 Reactions
8 Replies
977 Views
Wakati wa jpm nchi ilikuwa imeparaganyika watu wakabaki wanaogopa tu wale wasiojulikana na yeye mwenyewe akqbaki anawinda wanaomkosoa ili wauawe au wapewe makesi ya ajabu. Sasa nchi imetulia...
4 Reactions
6 Replies
908 Views
Leo katika pita pita zangu, nikazinyofoa habari kuntu,kumbe ndani ya ccm mambo ni FAYA. Nilio wataja hapo,wapo kwenye mpango mkakat wa hatari Sanaa,dhidi ya chair wao lengo ni kuhakikisha...
2 Reactions
8 Replies
787 Views
Wadau mwanzoni nilikuwa simuelewi kabisa huyu kiumbe,ila nimefuatilia kwa makini Mahojiano yake kwenye kipindi cha Msumari wa Moto kinachorushwa na Wasafi nimegundua anatengeneza kundi la...
1 Reactions
12 Replies
835 Views
Ndugu zangu dalili zinaonyesha Kuna Jambo haliko sawa.mama asidharau viashiria vinavyojitokeza.askofu lusekelo aliongea Mambo mazito kuhusu mbowe kushikiliwa na polisi kwa makosa ya ugaidi.kaja...
3 Reactions
5 Replies
804 Views
Inaposemwa kazi iendelee na nyinyi mjiongeze ,utaziona kazi nyingi sana ambazo CCM walikuwa nazo wakati wa Magu na sasa zinasemwa kazi ziendelee au ziendelezwe. 1) Kama uliona unaonewa basi kazi...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Nimeikumbuka tu hii kauli ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere aliyoitoa wakati ule Nccr mageuzi kikiwa ndio chama kinara upande wa upinzani. Nikimuangalia Polepole wa Tume ya Katiba mpya...
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Sababu kuu ni kwa kuwa maamuzi mengi yatapita tuu bila counter-reasoning, na mtakuja kuona mazuri/madhara yake kwenye implementation ambayo ni kwenye jamii. Sasa endapo maamuzi yenu yataleta...
2 Reactions
4 Replies
783 Views
Nakumbuka wakati serikali ikipigia chapuo tozo walisema, tozo itawezesha nchi, na nchi itaondokana na mikopo ambayo mingi mashariti yake si rafiki. Haya yalisemwa na kusisitizwa na Mhe. Rais akiwa...
0 Reactions
4 Replies
617 Views
Lengo la kuwekwa tozo lilikua ni nchi kujitegemea kwa makusanyo ya ndani na kupunguza mikopo kutoka nje. Sasa leo unasema mikopo sio mibaya na tutaendelea kukopa tu. Ikiwa ni hivyo kwa nini...
0 Reactions
2 Replies
443 Views
Nimeshtushwa na kugadhabaika sana kuona kiongozi wa dini akisema Ikulu kuna shetani. Nimeumizwa Sana na kauli hizo kutoka kwa mtu anayejiita mchungaji. Hii haipaswi kuachwa Kama ilivyo, ni...
22 Reactions
184 Replies
15K Views
Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni. "Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua...
35 Reactions
58 Replies
7K Views
Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana
1 Reactions
1 Replies
918 Views
ANDIKO la William Wordsworth “Character of the Happy Warrior” – “Sifa ya Mzalendo Jasiri Mwadilifu”, nitalitumia kama sehemu ndogo kujenga muktadha. Halafu nukuu “England Expects Every Man Will Do...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwigulu Nchemba, Kaka yangu, shikamoo, natumaini u mzima wa Afya wewe na familia yako. Cheo ulichonacho ulipewa na Mungu na siyo mwanadamu kama wewe uonavyo ktk macho ya Damu na nyama (physical...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Salamu za Heri zinaendelea kumiminika. Hapa chini ni kutoka kwa nabii Mwingira: Salamu za kama hizi zinapoendelea kutufikia ni vyema kujitafakari. Ni wazi kuwa kama Taifa hatuko vizuri...
25 Reactions
167 Replies
16K Views
WAFAHAMU MANABII WALIOKAA JELA , (WENGI SABABU ZA KISIASA) Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kipimo namba moja cha Nabii au mtumishi wa Mungu ni HAKI, Ikiwa nabii au mtumishi wa Mungu hatakuwa na...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom